Kilio kinachowasubiri Yanga ni kilio cha "mayu noyaga"

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Kwa wanyamwezi, Kilio cha "mayu noyaga" ni cha "mama nimekoma".

Hicho ndicho kilio kinachowasubiri Yanga watakapokutana na Medeama hapo kesho!

Medeama ni kitimu ambacho hakipo hata kwenye ramani ya soka la Afrika lakini kwa yanga ni mlima mrefu usiopandika!

Tuliwaambia michuano ya losers imesababisha wawe overated!!

Ona sasa watakavyoadhirika!!
 
Pole sana ndugu kwa mateso unayopitia. Malengo ya Yanga msimu huu yalikuwa ni kufikia hatua ya makundi.
 
ukiachana na utoto ujinga nao raha...
 
Acha kusaga kunguni mkuu.
Kunguni keshasagika tayari hata mimi nasikia haruifu yake tu!!! hivi kuna mtu hasikii harufu ya wananchi kuangikia pua? Ni mwenye roho ngumu tu ndiye mwenye kusubiri pointi tatu hapa kwa yanga!
 
acha ubwege .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…