Kilio kinachowasubiri Yanga ni kilio cha "mayu noyaga"

kesho itatoka takwimu kutoka kwa kikundi cha wavuta bangi fulani utaskia Yanga imekua ya pili kwa ubora Afrika halafu walivyo mazuzu watachekelea meno yote njee Ha ha ha ha ha!!!!
 
Mkifungwa leo nafasi ya mwisho inawahusu
 
Back
Top Bottom