hahahahaaa mzee mbona unataka kuupotosha umma??kuanzia lini labda nyie mzumbe mkaleta hata challenge inform ya riot or anything??mmeshindwa kwa kuhoji tuu ni kwanini mmekosa accomodation na mkatupwa nje ya campus na watoto wa cheti wakawazidi kete na kupata accomodation??pili mkopo wenu mnacheleweshewaga kuingiziwa inapita mpaka miezi miwil hamjapata mkopo..swali nani ambaye ameshawahi hata kuinua mdomo wake tuu na kuhoji katika swala nyeti kama hiloo??leo hii ndo pasikalike kisa field??mzumbe ni jumba la waoga na wasio na misimamo