KILIO LL,B!Chuo cha MUCCoBS kimewanyima makusudi pesa za field wa wanafunzi wa SHERIA(LL,B)

KILIO LL,B!Chuo cha MUCCoBS kimewanyima makusudi pesa za field wa wanafunzi wa SHERIA(LL,B)

hahahahaaa mzee mbona unataka kuupotosha umma??kuanzia lini labda nyie mzumbe mkaleta hata challenge inform ya riot or anything??mmeshindwa kwa kuhoji tuu ni kwanini mmekosa accomodation na mkatupwa nje ya campus na watoto wa cheti wakawazidi kete na kupata accomodation??pili mkopo wenu mnacheleweshewaga kuingiziwa inapita mpaka miezi miwil hamjapata mkopo..swali nani ambaye ameshawahi hata kuinua mdomo wake tuu na kuhoji katika swala nyeti kama hiloo??leo hii ndo pasikalike kisa field??mzumbe ni jumba la waoga na wasio na misimamo

We kumbe m2 akiwa na busara ni mwoga acha ushamba mzumbe watu wazima ni wengi na ndio maana hayo mambo ya mgomo hamna iyo kazi ya watoto afuu asilimia kubwa ya wanafunz wa mzumbe hawategemei mkopo!!!!!!! Pita iviiiii
 
Back
Top Bottom