Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Huyu jamaa atakoma kuifahamu jf na matokeo yake tunayabandika hapa.
ha ha ha
nashangaa watu hawamwachi apumue lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa atakoma kuifahamu jf na matokeo yake tunayabandika hapa.
Sasa we na akili timamu kweli unaenda kusoma LL.B MUCOBS,Hauko serious
muccobs nacho chuo? Haha. Chuo cha mpigamsuli
Sasa we na akili timamu kweli unaenda kusoma LL.B MUCOBS,Hauko serious
hahahahaaa mzee mbona unataka kuupotosha umma??kuanzia lini labda nyie mzumbe mkaleta hata challenge inform ya riot or anything??mmeshindwa kwa kuhoji tuu ni kwanini mmekosa accomodation na mkatupwa nje ya campus na watoto wa cheti wakawazidi kete na kupata accomodation??pili mkopo wenu mnacheleweshewaga kuingiziwa inapita mpaka miezi miwil hamjapata mkopo..swali nani ambaye ameshawahi hata kuinua mdomo wake tuu na kuhoji katika swala nyeti kama hiloo??leo hii ndo pasikalike kisa field??mzumbe ni jumba la waoga na wasio na misimamo