mangekimambi:We uleiba hii account ya @wemasepetu ujue soon Wema atarudishiwa account yake. Instagram watakunyang’anya watamrudishia, ungesaidia sana watanzania wanaotaka kulikomboa taifa kama ungeidelete kabisa hiyo page...... Hakuna kitu kinaboa kama Wema kumposti Bashite kwenye hiyo page.watu jinsi walivyompigania alafu anawapa middle finger kwa kumposti Bashite tena kwa mashauzi, .
Ukiidelete Page ndo hawezi kuipata tena ila kwa hivyo unavyoitumia watamrudishia tu ndani ya siku 1 au mbili.....
Au kama hujui jinsi ya kudelete account nipe access dakika 5 tu naidelete au natoa followers wooooote..
UPDATE:
Ila nyinyi mahacker mkizipata hizi account za hawa wasaliti na mbwa zingine zoooote zinazoposti Bashite au CCM msiwe mnapoteza muda kuweka matangazo muwe mnalog in kwenye website ya insta mnazidelete tu fastaaaa..Account ikishakuwa deleted haiwezi kuwa recovered tenaaaa.Sababu mwisho wa siku hata ukisema uitumie kwa matangazo hutonufaika chochote sababu ndani ya siku moja au mbili utanyang’anywa acccount na mmiliki atarudishiwa sasa si bora uongeze nguvu kwenye safari ya ukombozi kwa kuidelete tu????