gwa myetu
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 4,473
- 4,666
Huyu Mange ni mnafiki sana mimi nikuwa nam follow ni hivi majuzi alituma jumba za kijinga na za kitoto sana ikabidi nimueleza kuwa hicho anachofanya hakifanani na hadhi anayoitafuta hizi mambo za umbeya wa kinje na tunda au dai na wema ni mabo ya kitoto anzisha akaunti nyingine za udaku. Sikuamini baadae siku ya pili hii mwanamke imeniblock nikastaajabu sana wakati yeye ni hodari wa kusasambua wenzake kumbe ukimgusa anaingia mitini. Kweli nimeamini huyu ni changudoa. Na asili yake ni mtu aliekulia katika mazingira magumu sana maishani mwake
Pole sio kwa povu hilo. Naona umetoka juzi Simiyu.
Tunaomfahamu Mange tangu uturn blog kapata umaarufu sababu ya umbea, hizi siasa kaanza juzijuzi tu. Mange ni mbea hao shilawadu hawaoni ndani. Halafu mbona mambo ya siasa anapost sana? Kuna wadau wake wengi pia wanapenda umbea hawataki siasa, kwahiyo sio mbaya akipost maramojamoja.
By the way, akipost siasa comments hazifiki 100, akipost udaku comments hadi 2000 ,hata ungekuwa wewe ungejikita umbea maana hakuna anayemlipa