Tetesi: Kilio wema sepetu kudukuliwa instagram account yake, Mange Kimambi afurahia

Ni sawa na kusema kitambulisho cha kupigia kura ni cha kipind cha uchaguzi tu hivyo hakina maana baada ya uchaguzi,passport ina umuhimu mkubwa hasa kwa wale waishio nchi za ugenini huko.
Mi naishi ugenini passport naitumia kujia Tz tu-between European capitals natumia identity card na driving licence-technology imefanya haya mambo possible
 
Hiyo identity card na driving licence ulivipata bila kuwasilisha passport? Au form ya maombi ya kuvipata vitu hivyo ulipeleka nini?
Mi naishi ugenini passport naitumia kujia Tz tu-between European capitals natumia identity card na driving licence-technology imefanya haya mambo possible
 
Hiyo identity card na driving licence ulivipata bila kuwasilisha passport? Au form ya maombi ya kuvipata vitu hivyo ulipeleka nini?
Mange kwa sasa anayo passport which is valid na authorities watakuwa na copy. Ina maana wewe ujasikia watu wana destroy passport ndani ya ndege na nchi wanazofikia zinawapa identity mpya??
 
Mbona hujajibu swali husika hapo?

Na hao wanaoharibu hati zao wanakua na sababu za kueleweka na ushahidi,ingekua ni rahisi kuchana hati kisha unafika uendako unapewa nyingine mbona mie na ukoo wangu saiv tungekua tunaongelea ulaya huko

Swali nililoweka mara ya kwanza linaeleweka au mwenzetu kila kitu unatafutiwa ndo maana haufaham kama kuna passport mpya na mashart yake na mwisho wa kutumika kwa passport za zaman
Mange kwa sasa anayo passport which is valid na authorities watakuwa na copy. Ina maana wewe ujasikia watu wana destroy passport ndani ya ndege na nchi wanazofikia zinawapa identity mpya??
 
Mzungu ana huruma,ushahidi ataupata wapi Afrika???? Anajua dhiki ndio imekuleta Unafikiri hao boat people wanaotokea North Africa will all end up getting citizenship Europe. Hayo masharti,ni ngumu third world,wazee wetu hata birth certificate hawaijui leo umyime passport-loopholes hazitakosa
 
Huyu Mange ni mnafiki sana mimi nikuwa nam follow ni hivi majuzi alituma jumba za kijinga na za kitoto sana ikabidi nimueleza kuwa hicho anachofanya hakifanani na hadhi anayoitafuta hizi mambo za umbeya wa kinje na tunda au dai na wema ni mabo ya kitoto anzisha akaunti nyingine za udaku. Sikuamini baadae siku ya pili hii mwanamke imeniblock nikastaajabu sana wakati yeye ni hodari wa kusasambua wenzake kumbe ukimgusa anaingia mitini. Kweli nimeamini huyu ni changudoa. Na asili yake ni mtu aliekulia katika mazingira magumu sana maishani mwake
 
Mkuu umeruka swali la msingi,identity card na driving licence ulizipataje bila passport?

Huruma ya mzungu ingekua imemsaidia zamaan shostie kupata uraia. Au wale wakimbizi wanaolilia kila kukicha kupata uraia huko majuu wasingehangaika sana

Ushahidi ni kama vile wanaonyanyaswa kijinsia,kisiasa etc.

Kumbe kwa hio nikizamia boat kule north africa ntapata uraia kirahisi ulaya bwahahahaa acha hizo bana.

Honesty nahisi huko umepelekwa(haujashughulikia chochote iwe passport na vinginevyo)kiasi kwamba haujui ugumu wowote unaowapata wale wazamiaji. Khaa kirahis rahisi hivyo duh

Halafu sijaelwa hata ulichoandika daah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…