Killy na Cheed wajitoa King's Music

😃😃😃😃😃😃😃😃 Ukweli unaochekesha
 
Hao wamepewa umaarufu na wakajipima wakaona wanaweza sasa kujitegeme lakini huyo cheedy na killy wapo mwaka 1 king's music lakini hawaoni matunda na still wanaonekana underground wakati rayvanny, lavalava, Harmonize wametoboa wasafi kwa ngoma 1 tu.
Hao wana talent ya Harmo na Rayyvanny?
 
Cheed dogo ana kipaji. Ali Kiba hamtendei haki. Ni yule aliyeimba verse ya kwanza Masoz kama waujua.
Mwenye sauti ya kimama kweli! nilipoisikia kwenye redio nilibishana na mtu kama alikuwa demu mpaka akanionesha video!!!
 
Nahisi wamejitoa kwa sababu mmojawapo...
Kati ya Killy au Cheedy ameibiwa wimbo wake wa Dodo na KingIne KibaMia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…