Killy na Cheed wajitoa King's Music

Killy na Cheed wajitoa King's Music

HUWEZI SIMAMIA WASANII KAMA MWENYEWE TU UMESHINDWA KUJISIMAMIA VIZURI, TATIZO KIBA ALIIGA VITU KABLA HAJAANDAA MAZINGIRA YA KUVIMUDU
Rich mavoko na Harmo vp WCB hawakujiandaa..ni hulka ya binadamu kutaka zaidi
 
WAKATI MAVOKO NA HARMO WANAONDOKA WCB WALIKUWA HADHI SAWA KIMUZIKI NA HAO KINA KILLY NA CHEEDY? 🤔
NI HULKA YA BINADAM KUPATA ZAIDI ILA KWA HAWA HATA KIASI CHA KATI WALIKUWA HAJAWAFIKIA, IO ZAIDI WANAITA VIPI? 🤔
NAAMANISHA MAVOKO NA HARMO WALIOTOKA WCB WALIKUWA KIDOGO WAMEPIGA HATUA TOFAUTI NA HAWA AMBAO NDO KWANZA WALIANZA SAFARI YAO KIUFANISI ZAIDI
Rich mavoko na Harmo vp WCB hawakujiandaa..ni hulka ya binadamu kutaka zaidi
 
Rich mavoko na Harmo vp WCB hawakujiandaa..ni hulka ya binadamu kutaka zaidi
Hao wamepewa umaarufu na wakajipima wakaona wanaweza sasa kujitegeme lakini huyo cheedy na killy wapo mwaka 1 king's music lakini hawaoni matunda na still wanaonekana underground wakati rayvanny, lavalava, Harmonize wametoboa wasafi kwa ngoma 1 tu.
 
Back
Top Bottom