idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,364
Inasemekana wanaenda kwa Harmonize wote.Huyo mwenye sauti ya Ali kiba sitashangaa WCB wakimchukua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasemekana wanaenda kwa Harmonize wote.Huyo mwenye sauti ya Ali kiba sitashangaa WCB wakimchukua
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sasa hivi dodo,kiufupi huu wimbo katoa Boko la hatari,bora angeendelea kukakaa kimya,ingekuwa anatoa back to back tungechukulia kawaida,lkn anakaa mwaka then anakuja kutoa nyimbo kama hiyo.Kiba wa zamani alikuwa hot sana, nlikuwa naskiliza sana ngoma zake enzi hizo Makmuga,dushelele, Nakshinakshi, sindelela, na nyinginezo nyingi tu,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi mashabiki wa WCB hatuna noma mzee... hata Ali Kiba akija kwetu tutampokea kwa mikono miwili... Noma inaanzaga pale tu wanapomshindanisha boss wa WCB na local artists km Kiba na Harmonize!
Hapo ndipo niliposhindwa kuelewaMbona wamegelezeana maandishi,kwamba kuna mmoja ni mvivu kiasi cha kunakili ya mwenzio. Au ndio wanaitaga kiki?
Na nyie mmeanza kiki eeeh,mammaee,game imekuwa ngumu hivyo Hamna budi mfuate nyayo za WCB za enzi zileee.Waliyokuwa wasanii wa kingsmusicrecords, cheed na lkilly wametangaza leo asubuhi kujitoa kwenye lebo hiyo kupitia ujumbe wa pamoja walioweka kwenye kurasa zao Instagram.
Wawili hao wamemshukuru alalikiba pamoja na Uongozi mzima wa KingsMusic kwa nguvu na sapoti waliyoiwekeza kwao tangu walipoingia kwenye lebo hiyo ya muziki.
Killy na Cheed ni miongoni mwa wasanii wa awali waliotambulishwa katika lebo hiyo mwanzoni mwa Oktoba 2018.
"rebo" ndiyo nini? Ina sound kama Kirusi kipya!Killy amesema amejitoa katka rebo ya King music inayomilikiwa na msanii Ally kiba ameongeza kua amechukua uamzi huo binafsi ili kuendeleza mziki wake
Hii imekuja baada ya msanii mwenzie CHEED kutangaza kujitoa katka lebo hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cheed dogo ana kipaji...alikiba hamtendei haki.
Ni yule aliyeimba verse ya kwanza Masoz kama waujua.
"rebo" ndiyo nini? Ina sound kama Kirusi kipya!
Kumbe "rebo" ni Kiswahili? Siyo Kirusi kipya hicho?Wewe tushakuchoka kujifanya msomi wakati ulipata D ya kiswahili.
Kumbe "rebo" ni Kiswahili? Siyo Kirusi kipya hicho?