Tetesi: Killy na Cheedy wamshtaki Harmonize BASATA

Tetesi: Killy na Cheedy wamshtaki Harmonize BASATA

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Baada ya Harmonize kavunja mkataba wa Cheedy pamoja na Killy chini ya Label yake ya Kondegang baada ya kufata pendekeza la Manager wake Kajala Masanja.

Cheedy na Killy wameenda Basata kudai fidia ya kuvunjwa mkataba wao ambapo wanatakiwa kulipwa kila mmoja million 10 na label ya Kondegang kama ilivyoandikwa kwenye makubaliano ya mkataba.

Baada ya kuona wanazungushwa kupewa pesa yao, wameamua waende Basata kumshtaki Harmonize chini ya Label yake ya Kondegang.
 
Baada ya Harmonize kavunja mkataba wa Cheedy pamoja na Killy chini ya Label yake ya Kondegang baada ya kufata pendekeza la Manager wake Kajala Masanja. Cheedy na Killy wameenda Basata kudai fidia ya kuvunjwa mkataba wao ambapo wanatakiwa kulipwa kila mmoja million 10 na label ya Kondegang kama ilivyoandikwa kwenye makubaliano ya mkataba.

Baada ya kuona wanazungushwa kupewa pesa yao, wameamua waende Basata kumstaki Harmonize chini ya Label yake ya Kondegang.

Chiddy na Killy wanadai wapewe barua ya kumaliza mkataba na konde gang wala hawadai pesa....
Wanataka barua hili baadae wasije geukwa na wawe huru kabisa!
 
Mkataba wa Konde Gang nimeupenda, artist akivunja mkataba analipa shilingi bilioni moja kwa label lakini label ikivunja mkataba inamlipa msanii shilingi milioni kumi tu.
Bonge la fairground, damn.....!
 
Kuna investment gani inafanyika mpaka kampuni ilipwe billion? Hapo kumbuka Mmiliki ndio amevunja mkataba sio msanii mwenyewe, pesa ya msanii kuvunja mkataba ni tofauti na ile label kuvunja mkataba na msanii
 
Kina Nani hao hata picha na nyimbo zaoo Ni zipi
Nyimbo zao hata mimi sijawahi kuzisikia zaidi ya kuyasikia majina yao(japo sijayakariri) hasa baada ya hili sakata la kufukuzwa kwenye label, lakini taratibu zifuatwe kadri mkataba wao unavyoainisha na kama wanapaswa kulipwa au kulipa basi kila linalopaswa kutekelezwa litekelezwe.
 
Kuna investment gani inafanyika mpaka kampuni ilipwe billion? Hapo kumbuka Mmiliki ndio amevunja mkataba sio msanii mwenyewe, pesa ya msanii kuvunja mkataba ni tofauti na ile label kuvunja mkataba na msanii
Mmiliki wa label akivunja mkataba anamlipa artist shilingi milioni kumi, kusema ukweli ile label inawekeza kwa Kajala tu.Hao wasanii zaidi ya kutumia jila la label na kupostiwa kwenye 'Insta-stories' hakuna uwekezaji mwingine 'wa maana' unaofanyika.
Fair or unfair ni kila mtu na tafsiri yake.
 
Chiddy na Killy wanadai wapewe barua ya kumaliza mkataba na konde gang wala hawadai pesa....
Wanataka barua hili baadae wasije geukwa na wawe huru kabisa!
Kama ingekuwa barua tuu ya hivi hivi wangekuwa tayari washapewa. Kuna sehemu Konde Gang wanabana may be wanataka walipwe.
 
Ki2ga yule ni noma... Na lile goma lake la kuitwa GOMA ni noma... Ila hawa wengine duuuuh... Sijawahi waelewa kabisa
 
Back
Top Bottom