King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Tembo lipa hizo 20m zao!! Kama uliweza kununua range mbili hauwezi kushindwa 20m.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si mchezo babu, Mmakonde anafinya kinoma japo akili zangu zinanituma kuwa ufinyaji huo umetengenezwa na Jembe ni Jembe kwani 'inasemekana' kuwa behind the curtains yeye ndiye haswa mmiliki wa label.Hahaha
Mamaeeee
Bongo nyosoooo
Ova
Jembe ndy incharge na jembe mlaliaji sanaSi mchezo babu, Mmakonde anafinya kinoma japo akili zangu zinanituma kuwa ufinyaji huo umetengenezwa na Jembe ni Jembe kwani 'inasemekana' kuwa behind the curtains yeye ndiye haswa mmiliki wa label.
artist akivunja mkataba analipa shilingi bilioni moja kwa label lakini label ikivunja mkataba inamlipa msanii shilingi milioni kumi tu.[emoji3064]Mkataba wa Konde Gang nimeupenda, artist akivunja mkataba analipa shilingi bilioni moja kwa label lakini label ikivunja mkataba inamlipa msanii shilingi milioni kumi tu.
Bonge la fairground, damn.....!
artist akivunja mkataba analipa shilingi bilioni moja kwa label lakini label ikivunja mkataba inamlipa msanii shilingi milioni kumi tu.[emoji2827]Mkataba wa Konde Gang nimeupenda, artist akivunja mkataba analipa shilingi bilioni moja kwa label lakini label ikivunja mkataba inamlipa msanii shilingi milioni kumi tu.
Bonge la fairground, damn.....!
Wanadai termination letter ndio waende hatua inayofata ya kudai gharama za kuvunja mkataba.Kama ingekuwa barua tuu ya hivi hivi wangekuwa tayari washapewa. Kuna sehemu Konde Gang wanabana may be wanataka walipwe.
Mwise tulia.Sahih kbsa watu laki 2 ++ wanafatilia story hi imaging tukampa buku buku tu shilingapi hapa angebeba[emoji3] hat Kaz za pikipiki angetupa kule
Nasikia hilo Kalinda ni kaburi limemeza watu wazima wazimaAu wakaweke Kalyinda
Watu na Degree zaoNasikia hilo Kalinda ni kaburi limemeza watu wazima wazima
Ingekuwa big news kila mahali, press conferences za kukusanya hizi online TV zingekuwa nyingi sana na huu uzi ungekuwa unatiririka kinoma.Hii issues kama ingekuwa WCB ,threads ingekimbia sana. Mda kama huu Mange angetoa lake, huku bila kusahahu Wakazi naye ila kwenye hii issues wapo kimya au may be hawana cha kuongea.
Mkataba wa Konde Gang nimeupenda, artist akivunja mkataba analipa shilingi bilioni moja kwa label lakini label ikivunja mkataba inamlipa msanii shilingi milioni kumi tu.
Bonge la fairground, damn.....!
Kurudi kutawanufaisha vipi wakati hao waliobaki Kings Music hawana mbele wala nyuma yaani wapowapo tu, bora wawe independent artists.Ukweli ni kwamba Harmonize amechelewa kufanya maamuzi...harmonize hajawa mkubwa kivile kufika hatua kuanza kuwa na wasanii wengi.
Wale wawili wanatosha kabisa
Mwisho :
Chidy na Killy waka muombe msamaha Kaka yao Kiba Masononeko ya Mtu yanaweza yaka kufanya usipige hatua kwa unacho kifanya
Vipi kuhusu Lavalava na Kwein dalin huu ushauri pia una wahusu, au umechagua angle?Kurudi kutawanufaisha vipi wakati hao waliobaki Kings Music hawana mbele wala nyuma yaani wapowapo tu, bora wawe independent artists.
Kings na Konde hakuna tofauti yoyote, wote ni walewale tu.
itakuakwamba hawazalishi au?