Puncler
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 1,386
- 1,888
Si kila anayesema ukweli ni supporter wa WCB lakini kwa kukufurahisha ngoja nikujibu.Vipi kuhusu Lavalava na Kwein dalin huu ushauri pia una wahusu, au umechagua angle?
-Lavalava hajawahi kuwa nje ya top ten iwe ni kwenye views au digital platform streams, si huwezi kumuweka kundi la failures.
-Queen Darleen hana talent, aliwekwa kwa kubebwa tu na ndiyo maana anaweza kukaa hata three years bila kutoa ngoma hivyo kwa maoni yangu ni bora wangemtoa tu.
Hizi label uchwara zitakuja kuweza kusimamia artists kuwafikisha walipofikishwa Harmonize, Rayvanny, Mbosso, Zuchu au Lavalava?
Maoni yangu: Nadhani artists wengi wa Bongo wanaoanzisha labels si kwa nia ya kuwapambania wasanii bali nia ni waonekani kuwa wanamiliki wasanii hivyo waoneka kuwa ni big artists, hao wasanii wanaosainiwa wanatumiwa kama ngazi.