Hapo sijui nafsi zao ndio zinajua zaidiVip wanamind sababu hawajafanyiwa party kama Country Boy?.
Baada ya Harmonize kavunja mkataba wa Cheedy pamoja na Killy chini ya Label yake ya Kondegang baada ya kufata pendekeza la Manager wake Kajala Masanja. Cheedy na Killy wameenda Basata kudai fidia ya kuvunjwa mkataba wao ambapo wanatakiwa kulipwa kila mmoja million 10 na label ya Kondegang kama ilivyoandikwa kwenye makubaliano ya mkataba.
Baada ya kuona wanazungushwa kupewa pesa yao, wameamua waende Basata kumstaki Harmonize chini ya Label yake ya Kondegang.
Mkataba wa Konde Gang nimeupenda, artist akivunja mkataba analipa shilingi bilioni moja kwa label lakini label ikivunja mkataba inamlipa msanii shilingi milioni kumi tu.Baada ya Harmonize kavunja mkataba wa Cheedy pamoja na Killy chini ya Label yake ya Kondegang baada ya kufata pendekeza la Manager wake Kajala Masanja. Cheedy na Killy wameenda Basata kudai fidia ya kuvunjwa mkataba wao ambapo wanatakiwa kulipwa kila mmoja million 10 na label ya Kondegang kama ilivyoandikwa kwenye makubaliano ya mkataba.
Baada ya kuona wanazungushwa kupewa pesa yao, wameamua waende Basata kumstaki Harmonize chini ya Label yake ya Kondegang.
Sahih kbsa watu laki 2 ++ wanafatilia story hi imaging tukampa buku buku tu shilingapi hapa angebeba[emoji3] hat Kaz za pikipiki angetupa kuleWatu watataka ushahidi, wengine watasema ndio wakina nani hao. Ila mimi nasema sheria ifuate mkondo na haki itendeke.
Haha hao vijana walikua kwa Kiba.. Wakatoroka wakaenda kwa Konde.. Nako tena hali ndio iyo.Kina Nani hao hata picha na nyimbo zaoo Ni zipi
Au wakaweke KalyindaHizo 10 M wakazitumie kwenye kilimo mziki ushawakataa
Masikhara haya 😂Au wakaweke Kalyinda
Kuna investment gani inafanyika mpaka kampuni ilipwe billion? Hapo kumbuka Mmiliki ndio amevunja mkataba sio msanii mwenyewe, pesa ya msanii kuvunja mkataba ni tofauti na ile label kuvunja mkataba na msaniiMkataba wa Konde Gang nimeupenda, artist akivunja mkataba analipa shilingi bilioni moja kwa label lakini label ikivunja mkataba inamlipa msanii shilingi milioni kumi tu.
Bonge la fairground, damn.....!
Nyimbo zao hata mimi sijawahi kuzisikia zaidi ya kuyasikia majina yao(japo sijayakariri) hasa baada ya hili sakata la kufukuzwa kwenye label, lakini taratibu zifuatwe kadri mkataba wao unavyoainisha na kama wanapaswa kulipwa au kulipa basi kila linalopaswa kutekelezwa litekelezwe.Kina Nani hao hata picha na nyimbo zaoo Ni zipi
Mmiliki wa label akivunja mkataba anamlipa artist shilingi milioni kumi, kusema ukweli ile label inawekeza kwa Kajala tu.Hao wasanii zaidi ya kutumia jila la label na kupostiwa kwenye 'Insta-stories' hakuna uwekezaji mwingine 'wa maana' unaofanyika.Kuna investment gani inafanyika mpaka kampuni ilipwe billion? Hapo kumbuka Mmiliki ndio amevunja mkataba sio msanii mwenyewe, pesa ya msanii kuvunja mkataba ni tofauti na ile label kuvunja mkataba na msanii
Kama ingekuwa barua tuu ya hivi hivi wangekuwa tayari washapewa. Kuna sehemu Konde Gang wanabana may be wanataka walipwe.Chiddy na Killy wanadai wapewe barua ya kumaliza mkataba na konde gang wala hawadai pesa....
Wanataka barua hili baadae wasije geukwa na wawe huru kabisa!
HahahaMkataba wa Konde Gang nimeupenda, artist akivunja mkataba analipa shilingi bilioni moja kwa label lakini label ikivunja mkataba inamlipa msanii shilingi milioni kumi tu.
Bonge la fairground, damn.....!