SI KWELI Kilo 50 za dawa za kulevya zakamatwa Kanisani kwa Mchungaji Gwajima

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Nchi hii watu wamewekeza katika kutumia manguvu ya kimamlaka waliopewa kukomoa , tena kwa kutumia neno la huwezi shindana na dola bila bila kutotumia akili,

Dunia ya sasa inataka kutumia akili sana then nguvu pale inapobidi na kujiridhisha kwamba plan ipo vizuri for 85 percent, that's Israel imekua kisiki kikubwa upande ule, why akili kubwa ndo inatumika.

Sasa hapa mtu unamchukua kwenye basi upo na pingu na mabunduki kesho anaokotwa kafa ,kwa nini vyombo vya ulinzi visitupiwe lawama .

Marehem Lowasa wakati anagombea 2015 katika vipaumbele vyake 3

1. Ilikua elim
2.elimu
3.elimu
Hii ilikua ipo na maana sana sana
 
Wanataka kumbambikizia kesi kama walivyofanya kwa Lissu. Lissu aligoma.kupimwa mkojo nafikiri move ya kwanza ni Askofu kufikishwa Muhimbili kupata sampuli ya mkojo kufanikisha upelelezi kama askofu na yeye anabwiya unga ama ni punda tu

Nchi hii mambo yanakwenda kwa kasi saana October tunaisubiri kwa hamu sana kampeni zianze
 
Umekosea , ni nyumbani kwa afande Muliro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…