Polisi nchini Afrika Kusini walisema siku ya Jumapili Septemba 27, 2026 kuwa wameanzisha msako mkali baada ya watu 17 kuuawa katika shambulio la risasi usiku wa Jumamosi Septemba 26, 2026 kwenye kilabu cha pombe (tavern) katika mtaa wa Wedela, kusini magharibi mwa Johannesburg.
Huduma za...
Jeshi la Polisi limekamata kilo 50 za dawa za kulevya ndani ya jengo linalomilikiwa na Kanisa la Ufufuo na Uzima, linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima, katika operesheni ya kushitukiza iliyoendeshwa mwishoni mwa wiki.
Tukio hilo limeibua maswali mazito kuhusu uhalali na maadili ya baadhi ya...
Utambulisho wa mwanausalama mbele ya raia ni jukumu la kwanza. Na utambulisho wa kwanza wa mwanausalama yoyote ni Sura yake, pili sare zake na tatu kitambulisho chake. Ndio maana kila askari polisi anawajibika kuvaa sare rasmi za kipolisi zenye jina au namba ya utambulisho kila anapokuwa kwenye...
Jeshi la Polisi Tanzania latajwa miongoni mwa Majeshi Bora yanayotumia Uweledi kwenye utendaji wake.
Tanzanian Police imeshika namba 9 kwenye 10 Bora huku Majirani zetu hakuna hata mmja anaetufikia.
My Take
Hongera Jeshi la Polisi Tanzania ndio maana hata Machadema wanapoandamana walitegemea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.