Ni hatari na kosa kisheria Polisi kuficha utambulisho wake (kuvaa vinyago)

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
12,151
Reaction score
44,120
Utambulisho wa mwanausalama mbele ya raia ni jukumu la kwanza. Na utambulisho wa kwanza wa mwanausalama yoyote ni Sura yake, pili sare zake na tatu kitambulisho chake. Ndio maana kila askari polisi anawajibika kuvaa sare rasmi za kipolisi zenye jina au namba ya utambulisho kila anapokuwa kwenye majukumu yake. Na ikiwa polisi atakuwa amevaa nguo za kiraia anapaswa kujitambulisha kwanza na kutoa kitambulisho chake ili kutekeleza majukumu yake. Hizi ni sheria rasmi katika miongozo ya jeshi la Polisi.

Tusikubali huu mtindo mpya wa kihuni wa kuficha nyuso unaofanywa na baadhi ya polisi tena wakiwa na silaha mkononi, tunapaswa tuupinge sasa kwa nguvu zote. Ni mtindo usio na nia njema kwa raia. Mwanausalama anapoficha sura yake huwa ana malengo makubwa matatu.
1. Hataki ajulikane hadharani
2. Hataki kuja kuwajibishwa baadaye kwa kile alichokifanya.
3. Anataka kutengeneza utisho.

Usalama wetu ni muhimu kuliko kitu kingine chochote. Sote tuseme HAPANA.
 
Hii kitu ipigwe vita sana, ni namna ya kuhalalisha mambo yao
 
Hao wanaovaa soksi usoni ni wa kukodi toka UVCCM na ndio wanaowazingua wanaomzingua bosi wao.
 
Tunaingia karne mpya kwa kweli. Huko mbeleni sijui itakuwaje maana tunawategemea mno lakini kama wanakataa tusiwategemee wao .
 
Utambulisho wa mwanausalama mbele ya raia ni jukumu la kwanza. Na utambulisho wa kwanza wa mwanausalama yoyote ni Sura yake, pili sare zake na tatu kitambulisho chake. Ndio maana kila askari polisi anawajibika kuvaa sare rasmi za kipolisi zenye jina au namba ya utambulisho kila anapokuwa kwenye majukumu yake. Na ikiwa polisi atakuwa amevaa nguo za kiraia anapaswa kujitambulisha kwanza na kutoa kitambulisho chake ili kutekeleza majukumu yake. Hizi ni sheria rasmi katika miongozo ya jeshi la Polisi.
Na sisi Ma-Tanzania kama mapumbavu tu! Tunaruhusuje mtu ambaye hana utambulisho kuchukua watu huku tunaangalia? Tuwapigeni mapanga hawa wanaokuja kwa kujificha tuwahesabu kama majambazi! Wenye bunduki wazitukie kujihami na hawa majambazi!
 
Wacheni kufanya watu wajinga ,nchi zote polisi wana hiari yao kuvaa mask au kutovaa ndio wakaitwa polisi.
 
Back
Top Bottom