BAHARIA MSAFIRI
Senior Member
- Feb 17, 2016
- 154
- 356
Wapi imeandikwa aliyeshinda kura za maoni ndio kapita???Kama mgombea aliyeshinda kura za maoni katemwa maana yake alipita kwa rushwa? Kwanini katemwa?
Ameonyesha dharau kubwa sana kwa kamati kuu.Hivi alitukana> Kama ni hivyo, fukuza takataka
Kabla ya kuandika haya umeona orodha ya majina yaliyopitishwa na chama kugombea ubunge na majimbo husika?Kuna mgogoro mkubwa huko. Seems viongozi wa huko wanaona Shillah anawavuruga Lakini pia ni dhahiri Kuna influences za makao makuu ambazo huko ground hawakubaliani nazo.
Hivi vyama vinashida sana, ukijiuliza Shillah amechukua fomu kwa amri ya nani na kupitia utaratibu upi ni kiza kinene. Kama mgombea aliyeshinda kura za maoni katemwa maana yake alipita kwa rushwa? Kwanini katemwa?
Chadema pamoja na yote mna mambo ya hovyo kuliko CCM.