Uchaguzi 2020 Kilombero, Morogoro: Daniel Shillah, afukuzwa uanachama wa CHADEMA, Mwenyekiti agomaa asifukuzwe

Uchaguzi 2020 Kilombero, Morogoro: Daniel Shillah, afukuzwa uanachama wa CHADEMA, Mwenyekiti agomaa asifukuzwe

Huyu Shillah anaonekana ana uroho sana wa madaraka, anataka kutumia pesa zake kuhonga wenye njaa apitishwe kuwa mgombea, dawa yake ndio hiyo; AFUKUZWE KABISA CHAMANI KAMA HAWEZI KUFUATA TARATIBU ZA CHAMA ALIZOZIKUTA.
 
Kama mgombea aliyeshinda kura za maoni katemwa maana yake alipita kwa rushwa? Kwanini katemwa?
Wapi imeandikwa aliyeshinda kura za maoni ndio kapita???

Ndio maana zinaitwa kura za maoni.

Maoni si lazima yapite.

ALIYESHINDA AMEKATWA. NI KAWAIDA!

Mliamua kuiga mfumo wa CCM. Kufuata taratibu na katiba flimsy flimsy kama za CCM, mnategemea nini?

Huyo mwingine mwenyekiti hamtaki! Twende na nabii.
 
Hivi alitukana> Kama ni hivyo, fukuza takataka
Ameonyesha dharau kubwa sana kwa kamati kuu.
Hadi mtu kama makene anaamua kuongea na kupost ujue ni kweli huyu jamaa amevuka mipaka
IMG_20200819_221103.jpg
 
Kuna mgogoro mkubwa huko. Seems viongozi wa huko wanaona Shillah anawavuruga Lakini pia ni dhahiri Kuna influences za makao makuu ambazo huko ground hawakubaliani nazo.

Hivi vyama vinashida sana, ukijiuliza Shillah amechukua fomu kwa amri ya nani na kupitia utaratibu upi ni kiza kinene. Kama mgombea aliyeshinda kura za maoni katemwa maana yake alipita kwa rushwa? Kwanini katemwa?

Chadema pamoja na yote mna mambo ya hovyo kuliko CCM.
Kabla ya kuandika haya umeona orodha ya majina yaliyopitishwa na chama kugombea ubunge na majimbo husika?
 
Back
Top Bottom