Kilomita za gari na miaka ya kutengenezwa gari..

Tuende kwenye uhalisia sasa... Hapa tunakuja kwenye hesabu mkuu...

Mwaka 1999 na sasa hivi ni mwaka 2019 so ni miaka 20 hapo au sio?

Kilometers 45,000 / 20 years unapata 2250 kilometers per year... Ambayo ni sawa na kilometers 6.16 per day.

Sasa, fanya huyo owner alikuwa hana gari moja... Let's say alikuwa nayo matatu hivi... Na hayo yote hayaendeshwi kila siku, uwezekano wa kuwa na hizo kilometers 45,000 for over 20 years ni mkubwa tu...

Lakini Ukumbuke pia wenzetu infrastructures zao ni nzuri kushinda za kwetu... Lakini pia wana means of transportation nzuri tu kiasi kwamba hata akiacja gari nyumbani haoni tabu sana mfano presence ya train za umeme.
Nakubaliana na wewe.....nimeishi na ngozi nyeupe nikaona hiki kitu unachokizungumza...

Na familia nyingi za ngozi nyeupe unakita wanamiliki magari kuanzia matatu..
Moja lazima liwe van mafano Noah, Serena e.tc

Lingine lazima liwe gari la kazi ...truck.

Lazima kuwe na SuV au saloon car...

Akienda shamba au kwenye michezo yao, anachukua truck au suv. ...kukiwa na mtoko wa familia na feiends van inahusika..
Kazini gari ndogo inahusika...

Akitumia kila gari kidogo kidogo kuna uwezekano kabisa gari kukaa zaidi ya miaka 20 na bado likawa na mileage ndogo..

Sasa sisi huku mkiani mwa dunia Passo ndiyo ya kazini, sokoni, shambani na safari ndefu mpaka kule Matombo...

Wachache sana watakubaliana na hili.
 
Ni kweli mkuu... Sisi huku bongo gari moja tu na hilo hilo ni multipurpose... Mbongo anaweza akanunua gari mileage ipo 84,000 kilometers halafu baada ya mwaka ukakuta ishafika 150,000+ kilometers... Hiyo hiyo gari ofisini, sokoni, kwenda shamba, club, site, mkoa etc...

Na ndo maana sisi huku hata gari zetu zinawahi sana kuchoka... Gari inakula routes na mizigo balaa.
Nakubaliana na wewe.....nimeishi na ngozi nyeupe nikaona hiki kitu unachokizungumza...

Na familia nyingi za ngozi nyeupe unakita wanamiliki magari kuanzia matatu..
Moja lazima liwe van mafano Noah, Serena e.tc

Lingine lazima liwe gari la kazi ...truck.

Lazima kuwe na SuV au saloon car...

Akienda shamba au kwenye michezo yao, anachukua truck au suv. ...kukiwa na mtoko wa familia na feiends van inahusika..
Kazini gari ndogo inahusika...

Akitumia kila gari kidogo kidogo kuna uwezekano kabisa gari kukaa zaidi ya miaka 20 na bado likawa na mileage ndogo..

Sasa sisi huku mkiani mwa dunia Passo ndiyo ya kazini, sokoni, shambani na safari ndefu mpaka kule Matombo...

Wachache sana watakubaliana na hili.
 
Alphard, Crown nyingi ukiagiza mwenyewe km huwa zinasoma 100000 na zaidi
Ukienda Yard unapigwa kuwa hii imetembea km 45k tu tena wakikuona wa kuja wanakwambia hii ya mwaka 2015
Wanakuonesha na Mkanda kumbe Mkanda wamecherehani Kkoo
Aisee Kwenye crown huwa nachoka kabisa sanasana ukitembelea site ya be forward utaona crown nyingi ni km100000 na zaidi lakini ukirudi bongo utaona matangazo mengi ni km 45000..
Naona njia nzuri ya kununua gari ni kuagiza mwenyewe tu
 
Maana hizi gari zinatumika sana kama Hired Cars hivyo lazima milage iwe ndefu ilq wauzaji wanajua wabongo akili si sana
Aisee Kwenye crown huwa nachoka kabisa sanasana ukitembelea site ya be forward utaona crown nyingi ni km100000 na zaidi lakini ukirudi bongo utaona matangazo mengi ni km 45000..
Naona njia nzuri ya kununua gari ni kuagiza mwenyewe tu
 
Nakubaliana na wewe.....nimeishi na ngozi nyeupe nikaona hiki kitu unachokizungumza...

Na familia nyingi za ngozi nyeupe unakita wanamiliki magari kuanzia matatu..
Moja lazima liwe van mafano Noah, Serena e.tc

Lingine lazima liwe gari la kazi ...truck.

Lazima kuwe na SuV au saloon car...

Akienda shamba au kwenye michezo yao, anachukua truck au suv. ...kukiwa na mtoko wa familia na feiends van inahusika..
Kazini gari ndogo inahusika...

Akitumia kila gari kidogo kidogo kuna uwezekano kabisa gari kukaa zaidi ya miaka 20 na bado likawa na mileage ndogo..

Sasa sisi huku mkiani mwa dunia Passo ndiyo ya kazini, sokoni, shambani na safari ndefu mpaka kule Matombo...

Wachache sana watakubaliana na hili.
Maisha yetu banaaa ni shida kwelikweli
 
Mana ku maintain gari miaka 20 ngoma nzito huku ki IST namba B unakuta kimeoza kabisa ila yanakuja mazuriiii
Mwenye gari si mtumiaji sana. Kwa mwezi inaweza ikaendeshwa mara 2 au 3 tu. Tena town trip.

Kwa mwaka inaenda kijijini kama mara mbili hivi.
 
Gari ukichunguza used nyingi Japan tunakonunua wabongo nyingi ni 100,000+km ila maajabu yake sasa njoo bongo kwa madalali wote Gari zina 45,000km mpka 85,000km...hapo ndo unajua Gari ikija bongo ODO huwa inasoma kinyume nyume
 
Aisee Kwenye crown huwa nachoka kabisa sanasana ukitembelea site ya be forward utaona crown nyingi ni km100000 na zaidi lakini ukirudi bongo utaona matangazo mengi ni km 45000..
Naona njia nzuri ya kununua gari ni kuagiza mwenyewe tu
Nakumbuka miaka 5 iliyopita niliagiza kagari kangu beforward ....ilikuwa ina mileage ya 110,000 km...mpaka sasa ile gari ipo poa sana...nikiwa na safari me ni kujaza tu mafuta...kwenye engine hakuna sehemu yoyote yenye tone la oil inayovuja...gari bado inachanganya vizuri tu..

Sasa cha ajabu kuna jamaa hapa kanunua IST Dar kwenye yard ina kaama 45000km....engine ina leakage za hapa na pale za oil...japo si sana. ..sasa kuna siku ikamgomea kuwaka akaomba tufanye jumper ili awashe...

Jamaa akawa anashangaa injini yangu inavyong'aa kwa upya akilinganisha mile age zangu na zake....

Nilichojifunza ni afadhali ninunue gari beforward lenye 100,000+ km kuliko kununua gari hapa bongo lenye 40000km.....

Sisemi kuwa magari yote ya bongo yenye km ndogo ni mabaya, la hasha....ila mengi yamechakachuliwa...believe it or not...

We pima nunua gari Japani lenye mileage kubwa, na mwingine anunue gari bongo lenye mile age ndogo, then after one or two years, mtaona kama yule aliyenunua bongo hataanza kuwa mteja mzuri wa garage.

Binafsi ninakuwa na amani moyoni kununua mileage kubwa Japan kuliko mileage ndogo hapa Bongo.
Mtanzania kama anachakachua vyakula na anawalisha watanzania wenzake, ndiyo atashindwa kuchezea mile age ambazo anajua hazina madhara kwa afya yako...??

Ukinunua gari hapa nyumbani, papara weka pembeni, madalali weka kushoto na mwisho uwe na knowledge kubwa sana kuhusu magari....la sivyoz we agiza tu Japan hata kama lina 200,000km
 
Sahihi kabisa aisee kuna baadhi ya wafanyabiashara hapa bongo sio waaminifu hata kidogo..
Matangazo mengi ya wauza Magari hapa dar huwezi kuona milage 100000km,Kwa mtu ambaye Hana uzoefu wa Magari au ananunua gari yake ya Kwanza ni Bora apate ushauri wa kina kabla hajaingia mkenge
 
Gari ukichunguza used nyingi Japan tunakonunua wabongo nyingi ni 100,000+km ila maajabu yake sasa njoo bongo kwa madalali wote Gari zina 45,000km mpka 85,000km...hapo ndo unajua Gari ikija bongo ODO huwa inasoma kinyume nyume
Mkuu gari zenye km ndogo bei inakuwa ndefu kwamfano utakuta Kwenye mtandao wa "be forward" gari yenye km 45000 ni dollar 6000-7000 huku gari hiyohiyo yenye km 120000 ni dollar 1350-2000.
Ukienda Kwenye yard nyingi utakuta gari yenye km ndogo inauzwa milion 13 wakati kiuhalisia ulitakiwa ununue zaidi ya milion 20 na zaidi
 
Aisee Kwenye crown huwa nachoka kabisa sanasana ukitembelea site ya be forward utaona crown nyingi ni km100000 na zaidi lakini ukirudi bongo utaona matangazo mengi ni km 45000..
Naona njia nzuri ya kununua gari ni kuagiza mwenyewe tu
Hii gari ni nzuri Sana, Ila wenye nazo Wanasema ulaji wake wa mafuta ni balaa
 
Be foward siku hizi angalau gari zao zote kilomita zinasima 150000+ machache sana yapo chini ya laki moja tofauti na zamani
Crown
Brevis
IST
Passo
Prado
Alphard hizi nyingi huchezewa ODO
 
Back
Top Bottom