Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana na wewe.....nimeishi na ngozi nyeupe nikaona hiki kitu unachokizungumza...Tuende kwenye uhalisia sasa... Hapa tunakuja kwenye hesabu mkuu...
Mwaka 1999 na sasa hivi ni mwaka 2019 so ni miaka 20 hapo au sio?
Kilometers 45,000 / 20 years unapata 2250 kilometers per year... Ambayo ni sawa na kilometers 6.16 per day.
Sasa, fanya huyo owner alikuwa hana gari moja... Let's say alikuwa nayo matatu hivi... Na hayo yote hayaendeshwi kila siku, uwezekano wa kuwa na hizo kilometers 45,000 for over 20 years ni mkubwa tu...
Lakini Ukumbuke pia wenzetu infrastructures zao ni nzuri kushinda za kwetu... Lakini pia wana means of transportation nzuri tu kiasi kwamba hata akiacja gari nyumbani haoni tabu sana mfano presence ya train za umeme.
Nakubaliana na wewe.....nimeishi na ngozi nyeupe nikaona hiki kitu unachokizungumza...
Na familia nyingi za ngozi nyeupe unakita wanamiliki magari kuanzia matatu..
Moja lazima liwe van mafano Noah, Serena e.tc
Lingine lazima liwe gari la kazi ...truck.
Lazima kuwe na SuV au saloon car...
Akienda shamba au kwenye michezo yao, anachukua truck au suv. ...kukiwa na mtoko wa familia na feiends van inahusika..
Kazini gari ndogo inahusika...
Akitumia kila gari kidogo kidogo kuna uwezekano kabisa gari kukaa zaidi ya miaka 20 na bado likawa na mileage ndogo..
Sasa sisi huku mkiani mwa dunia Passo ndiyo ya kazini, sokoni, shambani na safari ndefu mpaka kule Matombo...
Wachache sana watakubaliana na hili.
Aisee Kwenye crown huwa nachoka kabisa sanasana ukitembelea site ya be forward utaona crown nyingi ni km100000 na zaidi lakini ukirudi bongo utaona matangazo mengi ni km 45000..Alphard, Crown nyingi ukiagiza mwenyewe km huwa zinasoma 100000 na zaidi
Ukienda Yard unapigwa kuwa hii imetembea km 45k tu tena wakikuona wa kuja wanakwambia hii ya mwaka 2015
Wanakuonesha na Mkanda kumbe Mkanda wamecherehani Kkoo
Aisee Kwenye crown huwa nachoka kabisa sanasana ukitembelea site ya be forward utaona crown nyingi ni km100000 na zaidi lakini ukirudi bongo utaona matangazo mengi ni km 45000..
Naona njia nzuri ya kununua gari ni kuagiza mwenyewe tu
Maisha yetu banaaa ni shida kwelikweliNakubaliana na wewe.....nimeishi na ngozi nyeupe nikaona hiki kitu unachokizungumza...
Na familia nyingi za ngozi nyeupe unakita wanamiliki magari kuanzia matatu..
Moja lazima liwe van mafano Noah, Serena e.tc
Lingine lazima liwe gari la kazi ...truck.
Lazima kuwe na SuV au saloon car...
Akienda shamba au kwenye michezo yao, anachukua truck au suv. ...kukiwa na mtoko wa familia na feiends van inahusika..
Kazini gari ndogo inahusika...
Akitumia kila gari kidogo kidogo kuna uwezekano kabisa gari kukaa zaidi ya miaka 20 na bado likawa na mileage ndogo..
Sasa sisi huku mkiani mwa dunia Passo ndiyo ya kazini, sokoni, shambani na safari ndefu mpaka kule Matombo...
Wachache sana watakubaliana na hili.
Mwenye gari si mtumiaji sana. Kwa mwezi inaweza ikaendeshwa mara 2 au 3 tu. Tena town trip.Mana ku maintain gari miaka 20 ngoma nzito huku ki IST namba B unakuta kimeoza kabisa ila yanakuja mazuriiii
Nakumbuka miaka 5 iliyopita niliagiza kagari kangu beforward ....ilikuwa ina mileage ya 110,000 km...mpaka sasa ile gari ipo poa sana...nikiwa na safari me ni kujaza tu mafuta...kwenye engine hakuna sehemu yoyote yenye tone la oil inayovuja...gari bado inachanganya vizuri tu..Aisee Kwenye crown huwa nachoka kabisa sanasana ukitembelea site ya be forward utaona crown nyingi ni km100000 na zaidi lakini ukirudi bongo utaona matangazo mengi ni km 45000..
Naona njia nzuri ya kununua gari ni kuagiza mwenyewe tu
Sahihi kabisa aisee kuna baadhi ya wafanyabiashara hapa bongo sio waaminifu hata kidogo..Nakumbuka miaka 5 iliyopita niliagiza kagari kangu beforward ....ilikuwa ina mileage ya 110,000 km...mpaka sasa ile gari ipo poa sana...nikiwa na safari me ni kujaza tu mafuta...kwenye engine hakuna sehemu yoyote yenye tone la oil inayovuja...gari bado inachanganya vizuri tu..
Sasa cha ajabu kuna jamaa hapa kanunua IST Dar kwenye yard ina kaama 45000km....engine ina leakage za hapa na pale za oil...japo si sana. ..sasa kuna siku ikamgomea kuwaka akaomba tufanye jumper ili awashe...
Jamaa akawa anashangaa injini yangu inavyong'aa kwa upya akilinganisha mile age zangu na zake....
Nilichojifunza ni afadhali ninunue gari beforward lenye 100,000+ km kuliko kununua gari hapa bongo lenye 40000km.....
Sisemi kuwa magari yote ya bongo yenye km ndogo ni mabaya, la hasha....ila mengi yamechakachuliwa...believe it or not...
We pima nunua gari Japani lenye mileage kubwa, na mwingine anunue gari bongo lenye mile age ndogo, then after one or two years, mtaona kama yule aliyenunua bongo hataanza kuwa mteja mzuri wa garage.
Binafsi ninakuwa na amani moyoni kununua mileage kubwa Japan kuliko mileage ndogo hapa Bongo.
Mtanzania kama anachakachua vyakula na anawalisha watanzania wenzake, ndiyo atashindwa kuchezea mile age ambazo anajua hazina madhara kwa afya yako...??
Ukinunua gari hapa nyumbani, papara weka pembeni, madalali weka kushoto na mwisho uwe na knowledge kubwa sana kuhusu magari....la sivyoz we agiza tu Japan hata kama lina 200,000km
Mkuu gari zenye km ndogo bei inakuwa ndefu kwamfano utakuta Kwenye mtandao wa "be forward" gari yenye km 45000 ni dollar 6000-7000 huku gari hiyohiyo yenye km 120000 ni dollar 1350-2000.Gari ukichunguza used nyingi Japan tunakonunua wabongo nyingi ni 100,000+km ila maajabu yake sasa njoo bongo kwa madalali wote Gari zina 45,000km mpka 85,000km...hapo ndo unajua Gari ikija bongo ODO huwa inasoma kinyume nyume
Hii gari ni nzuri Sana, Ila wenye nazo Wanasema ulaji wake wa mafuta ni balaaAisee Kwenye crown huwa nachoka kabisa sanasana ukitembelea site ya be forward utaona crown nyingi ni km100000 na zaidi lakini ukirudi bongo utaona matangazo mengi ni km 45000..
Naona njia nzuri ya kununua gari ni kuagiza mwenyewe tu
Ila mtumba wa gari wa Japan kwa kunukia ukitua bongo acha
Ila mtumba wa gari wa Japan kwa kunukia ukitua bongo acha
[emoji12][emoji12]nimecheka sanaSaaana....hata mimi nimejaribu ku.. maintain ile harufu ya mwanzo nimeshindwa kabisa..[emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]gari unapoishusha melini ukabidhiwe, uingie kule ndani kwa mara ya kwanza, hakika huwa inanukia kipekee......[emoji12][emoji12]nimecheka sana
Crown
Brevis
IST
Passo
Prado
Alphard hizi nyingi huchezewa ODO
Yes, ni bora kabisa ununue kwa mtu unaemjua...mie niliuza gari ya mwaka 2000 kwa dalali ikiwa na 190,000 km
Baada ya wiki naiona kwenye mtandao ina 85,000 km.