Kilosa: Serikali yakabidhi mashamba 11 yaliyoshindwa kuendelezwa kwa Wananchi

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
RIDHIWANI AKABIDHI MASHAMBA 11 YALIYOSHINDWA ENDELEZWA KWA WANANCHI KILOSA KWA NIABA YA RAIS SAMIA ,ASISITIZA YATUMIKE KWA AJILI YA KILIMO.

Na Mwandishi wetu...

Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Ridhiwani Kikwete amewahimiza viongozi wa Wilaya ya Kilosa kusimamia mpango wa matumizi ya mashamba 11 aliyoyakabidhi Mwishoni mwa wiki , Wilayani humo kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan.

Naibu Waziri Kikwete aliwashukuru wananchi kwa jinsi wanavyoendelea kushirikiana na Rais Samia katika maendeleo.

"Na hii ndiyo sababu Rais ameona kipaumbele kikubwa ya mashamba hayo kiwe ni wananchi ambao amewaomba mjiunge kwenye vikundi vya Ushirika ili mtumie kwa ajili ya Kilimo chenye tija"Alifafanua Waziri Kikwete.

Kwa upande wa Wakazi hao, walimshukuru na kumpongeza Rais kwa kuwapatia mashamba hayo na wakaahidi kuyatumia kama walivyoelekezwa.

Hata hivyo Ridhiwani ameeleza ziara yake inayohusiana na utatuzi wa migogoro ya ardhi itaendelea baada ya Zoezi la Sensa tarehe 23 Agosti 2022.
IMG-20220820-WA0000.jpg
IMG-20220820-WA0004.jpg
IMG-20220820-WA0006.jpg
IMG-20220820-WA0005.jpg
 
View attachment 2329152View attachment 2329153View attachment 2329154View attachment 2329155
Angekuwa Mwendazake hapa angekuja kuchukulia ujiko 😆😆😆😆..

Samia keshazoa kura za Kilosa tayari
 
Nchi hii hovyo kabisa. Na huyu eti Ni Waziri, kiss baba yake ana influence!
 
Back
Top Bottom