Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Shalom,
Jukwaa mnisamehe na fuatilia kwa wana kilwa masoko mtapata ukweli wote.
Ndugu wanajamii na watanzania kwa ujumla, kipekee wana kilwa masoko, ujumbe umfikie Madam Lilian wa Kilwa Beach Lodge, aweke tangazo la maandishi na sauti yake ijulikane bayana kuwa hataki kuwapa huduma waafrika na watanzania weusi kwa ujumla.
Ujumbe umfikie kabla sijaweka sauti na video za wateja wakilalamika.
Afanye haraka sana kuutangazia umma wa watanzania na Africa nzima juu ya msimamo wake kutoa huduma na kukaribisha wateja waafrika na watanzania weusi.
Nawasilisha.
Wadiz