Kilwa Beach Lodge iweke tangazo rasmi kama haitaki waafrika na watanzania

Kilwa Beach Lodge iweke tangazo rasmi kama haitaki waafrika na watanzania

Uwasilishaji wako wa malalamiko siyo mzuri hata kidogo. Ni kama huna uhakika au unatishia wakati kwa jambo muhimu kama hili ulitakiwa uelezee kwa undani. Iko wapi? Inamilikiwa na na nani? Kwanini unasema kuna ubaguzi? Kwa uwasilishaji wako, hujatendea haki hili jukwaa.
ndo maana yanafukuzwa,...bado hayajielewi, na hata kujieleza hayawezi,.... blacks 🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom