Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Hio iko kilwa masoko mkoa wa LindiSamahani mkuu...
Hiyo kitu ipo maeneo gani hapa Mwanza..🤔
Unakuwa umejipinda Kwa muda mrefu pengine kutafuta mtaji lakini unaajili wafanyakazi ambao hawawezi kuhudumia wateja kwa weledi, halafu unatafuta mchawiShalom,
Jukwaa mnisamehe na fuatilia kwa wana kilwa masoko mtapata ukweli wote.
Ndugu wanajamii na watanzania kwa ujumla, kipekee wana kilwa masoko, ujumbe umfikie Madam Lilian wa Kilwa Beach Lodge, aweke tangazo la maandishi na sauti yake ijulikane bayana kuwa hataki kuwapa huduma waafrika na watanzania weusi kwa ujumla.
Ujumbe umfikie kabla sijaweka sauti na video za wateja wakilalamika.
Afanye haraka sana kuutangazia umma wa watanzania na Africa nzima juu ya msimamo wake kutoa huduma na kukaribisha wateja waafrika na watanzania weusi.
Nawasilisha.
Wadiz
Ni jeuri ya mwafrika kuolewa na mzungu, na familia ya mke kujigeuza wazungu wenye ubaguzi wa watu wao, hii sio hadithi ndivyo kilwa Beach Lodge ifanyavyo kwa wateja watanzania weusiUnakuwa umejipinda Kwa muda mrefu pengine kutafuta mtaji lakini unaajili wafanyakazi ambao hawawezi kuhudumia wateja kwa weledi, halafu unatafuta mchawi
Huyo madam na meneja ndugu yake ndio msimamo wao dhidi ya wabongo weusi, fanya ufike ujionee Wahudumu wanakatazwa kuhudumia wabongo weusiHebu tupe scenario kwa urefu na mapana. Maana hii kero sio wewe wa kwanza kuisema.
Halafu tabia ya wadada wahudumu kuendekeza udangaji eneo la kazi, wazungu huwa wanatip so wanawashobokea zaidi kuliko waafrika.
Mnaenda kutafuta nn hapo? Si muende huko kwenye gest level zenu. Anapaswa kuweka Bango kuwa Weusi hawatakiwi hata kukaribia hapo (umbali wa Mita 500)Ni jeuri ya mwafrika kuolewa na mzungu, na familia ya mke kujigeuza wazungu wenye ubaguzi wa watu wao, hii sio hadithi ndivyo kilwa Beach Lodge ifanyavyo kwa wateja watanzania weusi
Uwasilishaji wako wa malalamiko siyo mzuri hata kidogo. Ni kama huna uhakika au unatishia wakati kwa jambo muhimu kama hili ulitakiwa uelezee kwa undani. Iko wapi? Inamilikiwa na na nani? Kwanini unasema kuna ubaguzi? Kwa uwasilishaji wako, hujatendea haki hili jukwaa.Shalom,
Jukwaa mnisamehe na fuatilia kwa wana kilwa masoko mtapata ukweli wote.
Ndugu wanajamii na watanzania kwa ujumla, kipekee wana kilwa masoko, ujumbe umfikie Madam Lilian wa Kilwa Beach Lodge, aweke tangazo la maandishi na sauti yake ijulikane bayana kuwa hataki kuwapa huduma waafrika na watanzania weusi kwa ujumla.
Ujumbe umfikie kabla sijaweka sauti na video za wateja wakilalamika.
Afanye haraka sana kuutangazia umma wa watanzania na Africa nzima juu ya msimamo wake kutoa huduma na kukaribisha wateja waafrika na watanzania weusi.
Nawasilisha.
Wadiz
Sawa kidukulile umesikikaMnaenda kutafuta nn hapo? Si muende huko kwenye gest level zenu. Amapaswa kuweka Bangor kuwa Weusi hawataki hapo
Fuatilia tembea uoneUwasilishaji wako wa malalamiko siyo mzuri hata kidogo. Ni kama huna uhakika au unatishia wakati kwa jambo muhimu kama hili ulitakiwa uelezee kwa undani. Iko wapi? Inamilikiwa na na nani? Kwanini unasema kuna ubaguzi? Kwa uwasilishaji wako, hujatendea haki hili jukwaa.
Wewe unashauri jambo baya kabisa. Unashauri watu waukubali ubaguzi kwenye nchi yao?Mnaenda kutafuta nn hapo? Si muende huko kwenye gest level zenu. Anapaswa kuweka Bango kuwa Weusi hawatakiwi hata kukaribia hapo.
Siwezi kufuatilia kwa sababu siko hayo maeneo.Fuatilia tembea uone
Hapo Pana fursa ya biashara ukiwa na pesa ni kuwekeza hukoNi jeuri ya mwafrika kuolewa na mzungu, na familia ya mke kujigeuza wazungu wenye ubaguzi wa watu wao, hii sio hadithi ndivyo kilwa Beach Lodge ifanyavyo kwa wateja watanzania weusi
Utakuta alitongoza demu mhudumu kanyinwa uchi kaja kuleta porojo zake humu,aweke ushahidi tuoneUwasilishaji wako wa malalamiko siyo mzuri hata kidogo. Ni kama huna uhakika au unatishia wakati kwa jambo muhimu kama hili ulitakiwa uelezee kwa undani. Iko wapi? Inamilikiwa na na nani? Kwanini unasema kuna ubaguzi? Kwa uwasilishaji wako, hujatendea haki hili jukwaa.
Ubaguzi upo wapi hapo? Mmiliki ana haki ya kukataa wa kuja kwenye eneo lake kulingana na umri, KIPATO ( hapa ndo weusi hukwama)Wewe unashauri jambo baya kabisa. Unashauri watu waukubali ubaguzi kwenye nchi yao?
Umesoma malalamikoyake ukaelewa? Sidhani kama amesema kuna ubaguzi wa kipato. Amesema kuna ubaguzi wa rangi. Hili la kipato ni wewe umeliweka.Ubaguzi upo wapi hapo? Mmiliki ana haki ya kukataa wa kuja kwenye eneo lake kulingana na umri, KIPATO ( hapa ndo weusi hukwama)
kwani shida ninini? au mnaenda pale bila kuoga? ila sometimes wakati mwingine wabongo tunazingua. hujawahi kwenda hotelini ukakuta mtu anakula utafikiri mashine ya kuchakata kokoto, linapeng'a ovyo, chakula hadi kwenye ndevu hadi mteja mstaarabu harudi tena hapo kwasababu yake.Shalom,