macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Mkuu umewaza kama mimi. Au ni hisia zake tu kwa sababu ya inferiority complex. Angejaribu hata kuelezea kwa undani bila ushahidi ni kwa nini anatoa shutuma kubwa kama hizi. Badala yake anatuambie tuende sisi tukajionee.Utakuta alitongoza demu mhudumu kanyinwa uchi kaja kuleta porojo zake humu,aweke ushahidi tuone
Pia na mikelelekwani shida ninini? au mnaenda pale bila kuoga? ila sometimes wakati mwingine wabongo tunazingua. hujawahi kwenda hotelini ukakuta mtu anakula utafikiri mashine ya kuchakata kokoto, linapeng'a ovyo, chakula hadi kwenye ndevu hadi mteja mstaarabu harudi tena hapo kwasababu yake.
Naunga mkono wabongo weusi wasihudumiwe wakilewa wanakuwa na makelele wazungu huwa hawapendi kelele wakiwa wanakunywa pombe au wakiwa wanakula chakulaHuyo madam na meneja ndugu yake ndio msimamo wao dhidi ya wabongo weusi, fanya ufike ujionee Wahudumu wanakatazwa kuhudumia wabongo weusi
Napengine hatuwezi hata kwenda hukoMkuu umewaza kama mimi. Au ni hisia zake tu kwa sababu ya inferiority complex. Angejaribu hata kuelezea kwa undani bila ushahidi ni kwa nini anatoa shutuma kubwa kama hizi. Badala yake anatuambie tuende sisi tukajionee.
Hii ni kanuni yako kwa sababu huna exposure. Nyie ndiyo huwa mnafikiria kuwa wazungu wote wanazungumza kiingereza na wana fedha. Mkiona watalii wazungu mnasema ni watu wenye fedha nyingi sana. Mnadhani mtalii ni mtu mwenye ngozi nyeupe tu. Hamjui kuwa kuna watalii weusi kutoka nchi kama UK, Marekani na Uholanzi.Rangi nyeusi= kipato kidogo
Acha kejeli, dharau na matusi we jamaa.Ngozi ya Taqo mna nongwa. Naunga mkono hoja ya mmiliki
Ngozi ya Taqo mna nongwa. Naunga mkono hoja ya mmiliki
Mnaenda kutafuta nn hapo? Si muende huko kwenye gest level zenu. Anapaswa kuweka Bango kuwa Weusi hawatakiwi hata kukaribia hapo.
Ubaguzi upo wapi hapo? Mmiliki ana haki ya kukataa wa kuja kwenye eneo lake kulingana na umri, KIPATO ( hapa ndo weusi hukwama)
Nimeshindwa hata nikujibu nini.Rangi nyeusi= kipato kidogo
NIlijua tu kuwa wewe ni idiot mmoja hivi, kada wa CCM.Naunga mkono wabongo weusi wasihudumiwe wakilewa wanakuwa na makelele wazungu huwa hawapendi kelele wakiwa wanakunywa pombe au wakiwa wanakula chakula
Watu weusi nendeni huko uswahilini huko kunakuruhusiwa mikelele kaeni mbali na sehemu za wazungu
Nani alikuwambia maisha hayatakiwi kuchukuliwa serious?SHUSHA presha haya maisha yatakutia hasira ukiyachukulia serious...
Nenda Jimbiza My wangu.
Unadhani hata ana Jf???
Mi nadhani maadam ni biashara yake na amewekeza.mwacheni muda utafika atatamani kuwapata wabongo wakati huoShalom,
Jukwaa mnisamehe na fuatilia kwa wana kilwa masoko mtapata ukweli wote.
Ndugu wanajamii na watanzania kwa ujumla, kipekee wana kilwa masoko, ujumbe umfikie Madam Lilian wa Kilwa Beach Lodge, aweke tangazo la maandishi na sauti yake ijulikane bayana kuwa hataki kuwapa huduma waafrika na watanzania weusi kwa ujumla.
Ujumbe umfikie kabla sijaweka sauti na video za wateja wakilalamika.
Afanye haraka sana kuutangazia umma wa watanzania na Africa nzima juu ya msimamo wake kutoa huduma na kukaribisha wateja waafrika na watanzania weusi.
Nawasilisha.
Wadiz
Ushimen Huwa sijawah soma comment yako kwenye Uzi wowote bila kucheka sijui kichwani mwako Kuna Nini πππSamahani mkuu...
Hiyo kitu ipo maeneo gani hapa Mwanza..π€
Tembea uone kidukulileUtakuta alitongoza demu mhudumu kanyinwa uchi kaja kuleta porojo zake humu,aweke ushahidi tuone
Kipato kidogo pia kinachangia weusi kutohudumiwaRangi nyeusi= kipato kidogo
Sasa wao wanabagua live bila chengaMi nadhani maadam ni biashara yake na amewekeza.mwacheni muda utafika atatamani kuwapata wabongo wakati huo
watakuwa wamemtenga ndipo atalia kilio cha mbwa koko.
Hoteli zote zinaitwa kwa kiingereza '' hospitality industries'', nakumbuka miaka ya 90's enzi za sheraton Dar es salaam
ukiajiliwa lazima upige week mbili za training inayohusu mambo ya costumer care,na tuliambiwa usibague mtu yeyote
kwa muonekano wake,japo kulikuwa na maeneo kama vyumba ''suites'' ambavyo kama una hela fupi wewe mwenyewe utajibagua.Enzi hizo tulifanya biashara sana na watu wa nje walikuwa wengi kuliko waswahili,ila hakuna mswahili hata mmoja alibaguliwa kwa rangi yake.
Sasa unataka kulazimisha kuwa lazima uhudumiwe hapo si uende zako kwingine kwani uliitwa uende hapo kwenye hiyo lodgeSasa wao wanabagua live bila chenga
Je wameandika popote tangazo hili Right of administration reserved, yaani Wana haki ya kukuondoa ama kukataza kuingia kama wameliandika hivyo basi wako sahihiNgozi ya Taqo mna nongwa. Naunga mkono hoja ya mmiliki