ina aminiwa kwamba Kilwa ni kati ya miiji maarufu kwa biashara mnamo karne ya 18.kutokana na upekuzi wangu wa kujifunza.nilikutana na mtu aliniambia Kilwa pia una Pyramid kama iliyo Pyramid ya Egypt.ila yenyewe sio kubwa kam ile ya Egypty maeneo ya Giza..sikuweza kukubali wala kukataaaa..kwasababu napenda kujifunza..ombilangu kwa wana jamii wenzangu km kuna mtu anaijua Kilwa vizuri ningependa aweze kunitatulia huu utata ..ata kwa kielelezi cha picha. asanten