Kilwa kivinje Mkoa wa pwani

Kilwa kivinje Mkoa wa pwani

sonofally

New Member
Joined
Nov 27, 2011
Posts
3
Reaction score
0
ina aminiwa kwamba Kilwa ni kati ya miiji maarufu kwa biashara mnamo karne ya 18.kutokana na upekuzi wangu wa kujifunza.nilikutana na mtu aliniambia Kilwa pia una Pyramid kama iliyo Pyramid ya Egypt.ila yenyewe sio kubwa kam ile ya Egypty maeneo ya Giza..sikuweza kukubali wala kukataaaa..kwasababu napenda kujifunza..ombilangu kwa wana jamii wenzangu km kuna mtu anaijua Kilwa vizuri ningependa aweze kunitatulia huu utata ..ata kwa kielelezi cha picha. asanten
 
KlLWA IKO MKOA WA PWANI? UMESOMA KIPINDI GANI WEWE. AU KIPINDI HIKI AMBACHO JIOGRAFIA HAIFUNDISHWI? POLE SANA NDUGU YANGU. KAMA UNASHINDWA KUFAHAMU NCHI YAKO TAABU KWELI KWELI!
 
Umenishitua sana maana siamini kuwa kuna watanzania hawajui geografia na historia ya nchi yao.
Nashukuru pia kuona unapenda kujifunza. Elimu haina mwisho. Kilwa ni wilaya hiko mkoa wa Lindi. Inapakana na bahari ya Hindi, Wilaya ya Liwale (Lindi), Rufiji (Pwani) n.k ... maeneo ya kihistoria katika Kilwa ni pamoja na eneo la Kilwa masoko, kilwa kivinje na kilwa kisiwani. Unaweza kuyapata kwenye internet ukaangalia. Endelea kujifunza mpendwa wangu

Back
Top Bottom