Kilwa Masoko, Lindi: Zaidi ya Tani moja ya Dawa za Kulevya yakamatwa

Acha unafiki hutuba za magu zote ngapi wakati magu katawala muhula mmoja tu.Muhula wa kwanza kuhutubia bunge Kikwete alikuwepo tena akashangiliwa sana pale Spika aliposema tumekumiss mzee.Mkuu achana na ushabiki mandazi ushakuwa mtu mzima mbona watu wanakuheshimu afu unakuwa na akili za boda boda.

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Jamaa walikuwa wanapita wanaenda latin america uko sema kimbunga Jobo kikawaleta bongo
 
Mizgo mkubwa km ivi hauwez safirishwa kwa ndege.

NJIA waloitumia Ni nzur zaidi maana Ni ngum kuwastukia.

Na uko baharini kwny majahaz hakuna blocks za ukaguz.
 
Jinyonge, maana naona povu linazidi la fomu

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Mbona mbunge yule wa CCM hakupotea mkuu na ubunge akabaki nao? Na vipi mdogo wake Rostam hata kesi haikuwahi kupelekwa mahakamani? 😂😂
 
Mkuu wa Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi Christopher Ngubiagai, amesema wamekamata Jahazi lenye zaidi ya Tani moja ya dawa za kulevya aina ya heroin katika eneo la Pwani ya Kilwa Kisiwani Wilayani humo.

“Raia wa Kigeni wasiopungua 10 walikua ndani ya Jahazi na mpaka sasa bado hajafahamika ni Nchi gani wanayotoka, wanaendelea kuhojiwa”———Ngubiagai

“Niwaambie tu Kilwa sio sehemu sahihi ya kupitisha vitu vya magendo kwakuwa Kamati ya Ulinzi na Usalama imejipanga vizuri”———Ngubiagai
#MillardAyoUPDATES
 
Inaonesha hawa jamaa wametoka mashariki ya mbali na jahazi kwakuwa muundo wa jahazi si sawa na makahazi ya hapa kwetu: hawa ni jasiri sana. Inaonesha pia kuna mtu kaharibu mpango wao ama walisukimwa na upepo wakajikuta wamaingia kwenye maji yetu
 
Hata kwetu jahazi kama hizo zipo mbona
Kisiju zipo,jahazi zinafungwa engine zinaenda kuvua mbali

Ova
 
Pale kuna meli kabsa za kijeshi zinaelea mda wote wangepenya vipi hawaa
Hawa wanakujaga kwa gia za uvuvi
Wakifika umbali fulani huwa wanawapa
Watu wao signal wawafate walipo, na kufaulisha mzigo naona hawa jamaa sasa walitaka kuja mpaka nchi kavu washushe
Dah
Big up sana kwa jeshi letu la navy na police

Ova
 
Wazee wa kulazamisha Legacy.
 
Hawa wanakujaga kwa gia za uvuvi
Wakifika umbali fulani huwa wanawapa
Watu wao signal wawafate walipo, na kufaulisha mzigo naona hawa jamaa sasa walitaka kuja mpaka nchi kavu washushe
Dah
Big up sana kwa jeshi letu la navy na police

Ova
Hapo sawaa maana pale kilwa masoko jamaa wapo mda wote na siku zote na meli yao ya kisasa kabsa na bodi ,sio rahc kupenya labda kama wangetoa rushwa ...ila mjeshi kula rushwa duuh Mara chache au hakuna kabsa
 
Hivi hili linalozungumziwa hivi majuzi, au ilikuwa "trap"!? Au, ni....au...!? Mbona au zinakuwa nyingi, nini tena!?
 
Hawa wanakujaga kwa gia za uvuvi
Wakifika umbali fulani huwa wanawapa
Watu wao signal wawafate walipo, na kufaulisha mzigo naona hawa jamaa sasa walitaka kuja mpaka nchi kavu washushe
Dah
Big up sana kwa jeshi letu la navy na police

Ova
Hivi mzigo kama huu ukishakamtwa hatua gani ufuata juu ya mzigo wenyewe!?
 
Dah! mara hii!! wanataka kuua kabisa kizazi chetu hawa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…