Msukule Kindakindaki wa Jiwe!! Hivi wale ambao walitajwa na Bashite walifanywa nini?! Au Bashite aliwasingizia tu? NI mjinga tu ndie anaweza kuamini wakati wa Jiwe watu waliacha kusafirisha dawa za kulevya! Na kwa kukumbusha tu, kuna madogo walidakwa wakiwa na heroin 30 kg ndani! Zilifikaje fikaje hapo ndani? Au walikuwa wanazalisha humo humo ndani? Kila mwenye akili zake alishuhudia ambacho kilifanywa na Serikali ya Jiwe ni skua-harrass mateja lakini wale barons wanaendelea kula maisha!!! Ok! Endeleeni kumpamba lakini ni porojo zitakazoingia akili mwa mapoyoyo aina yako lakini Jiwe ni Mwizi tu! Na kama ni mwizi, no surprise kuona ali-deal na punda huku akiacha barons!