Kilwa Road: Barabara ya mwendokasi imefungwa ilihali hakuna basi lolote linalopita, tunateseka na foleni!

Wanazoaga wanaiba tu. Temeke na Mbagala CCM haijawahi kupendwa.
Najua ndio maana nasema wanazoaga tu,na Wananchi tunakula buyu Kali.
Bado poa tu,ila kwa hili wamezingua.
Nimekwama na mgonjwa kwenye foleni,kidogo nimpandishe Bodaboda!
 

Design nzima ya BRT inafavor mabasi ya BRT tu, magari mengine yamejengewa kijibarabara...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…