Kilwa Road: Barabara ya mwendokasi imefungwa ilihali hakuna basi lolote linalopita, tunateseka na foleni!

Kilwa Road: Barabara ya mwendokasi imefungwa ilihali hakuna basi lolote linalopita, tunateseka na foleni!

WANATENGENEZA TATIZO ILI WAJE KULITATUA CCM NA SREIKALI YAKE WANATUPELEKA SLOW IKIWA SISI TUPO NA HARAKA SASA NJIA IMEISHA KINACHOFANYA ISITUMIKE NI NINI YANI
 
Vituo vya barabata hiyo vimeanza kuharibiwa kabla haijaanza kutumika.
Mabomba ya kupokea maji ya mvua ambayo nayo hayana ubora vituoni yamevunjwa na magari na pikipiki zinazopita barabara hiyo.
Waifunge tu
kila siku wanabomoa na kujenga tena hapo ndo zinapita bodaboda tu imagine watabomoa mara ngapi mradi ukianza rasmi
 
Barabara zimekamilika zamani ila bado Mwaka mzima mwendokasi kimyaa
Barabara haijakamilika. Lakini kuanzia Uhasibu hadi Posta ya zamani tunatumia njia za mwendokasi bila kizuizi chochote, sijui mleta mada anazungumzia kule Mbagala au mtongani huko. Jioni huwa napita njia ya mwendokasi kuanzia Station hadi Uhasibu na inasaidia sana kupunguza foleni.
 
Sema walitakiwa watatue changamoto ya foleni wakati wa ujenzi kwasababu mwisho wa siku mwendokasi zitaanza na changamoto itarudi.

Mfano mataa ya Veta wameweka single lane yenye barrier kwenda Chang'ombe, zile semi zinazoingia viwandani zikiharibika katikati ya barabara, watumiaji wataimba haleluya. Bora wasingejenga vituo pale mwanzo na kuweka barabara mbili za kwenda na kurudi. Same applies to Buguruni pamoja na eneo kubwa kubaki wameweka single
Sasa mkuu kuanzia hapo Veta hadi kona ya kwenda chang;ombe double lanes zitatoka wapi? Pale wameweka single lane na kaukuta kafupi ili kama ikitokea kuna gari imeharibika njiani unapanda kale kaukuta unaendelea na safari. Kaukuta gari yoyote ya chini inapanda,same na njia ya Buguruni. Kumbukeni sio magari tu yatapita hizo njia kuna watembea kwa miguu pia wanahitaji sehemu pana ya kutembea.
 
mtuche kwanza wenyewe tuko kizimkazi kwenye Festival ya Mama akuuuuuu, nasisistiza mtuacheeeeeeeeeee, kwani tuliwatumaaaaa, inahuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu heheeeee haloooooooooooow mkikosaga kazi mnaanza kilwa road kilwa road kwani matatizo mengine hamyaoniiiiiiiiiiiiii. Mama mitano tena.
 
Watu wa Mbagala walipaswa wawe sehemu ya mkoa wa Pwani au Lindi. Kitu kinaitwa ustaarabu, uvumilivu, utaratibu, uungwana hawanacho kwenye misamiati yao.
Kwa niaba ya Ndugu zangu Mbagala,Chamanzi,Toangoma,Mbande na Kongowe tunasema ahsante kwa kashfa zako na Mungu akubariki.
 
Wangeruhusu daladala na gari ndogo zipite japo asubuhi na jioni.
Malori yazuiliwe yanaharibu Barabara kwa uzito mkubwa.
 
Barabara imejengwa kwa Kodi za Wananchi, mmeifunga kusudi ilihali hakuna gari yoyote ya Mwendokasi inayopita! Tunateseka na foleni huku pembeni tunaona Barabara Iko tupu.

Not fair! Huku kwetu kura mnazoaga tu, kwa nini mnatunyanyasa?
Wanazoaga wanaiba tu. Temeke na Mbagala CCM haijawahi kupendwa.
 
Watu wa Mbagala walipaswa wawe sehemu ya mkoa wa Pwani au Lindi. Kitu kinaitwa ustaarabu, uvumilivu, utaratibu, uungwana hawanacho kwenye misamiati yao.
Lindi imepakana na Dar? Bangi unayovuta sio nzuri.
 
Barabara imejengwa kwa Kodi za Wananchi, mmeifunga kusudi ilihali hakuna gari yoyote ya Mwendokasi inayopita! Tunateseka na foleni huku pembeni tunaona Barabara Iko tupu.

Not fair! Huku kwetu kura mnazoaga tu, kwa nini mnatunyanyasa?
Wewe ungekuwa dereva aliyepitia chuo ngejua kiwa bada haijaisha, kuisha kwa barabara kunahusisha pia alama za usalama, hizo alama ndiyo kwanza wameanza kuziweka sasa wewe unataka madereva watumie barabara isiyo na alama za kuongoza magari!
 
Mimi Dereva,VIP class 1.
 
Back
Top Bottom