Tetesi: Kim Jong Un anapigania uhai wake kwenye Coma

Yule Rais wa rockets na katili duniani yupo ICU kwenye coma madaraka yote amesha kabidhi Kwa Dada. Kweli ma beberu watu wabaya. Taarifa the Mirror
Ni sharti la lazima la kumfanya kuikiri imani ya kweli juu ya Muumba wake, awapo ktk uvuli wa mauti, ni BWANA pekee ndiye ambaye anaweza kumuokoa. Si cheo chake, wauguzi wala walinzi wake, bali ni Mola wake pekee ndiye ambaye anayeweza kumponya.
 
mbona haya yalisemwa mwezi wa tano nadhani...
 
Hahaha mi nilidhani Kim wetu ndiye yuko kwenye coma, kumbe yule Kim wa Korea.
Niliwahi kusikia Gwajima hufufua wafu, hawezi kusaidia hili, taifa likapata misifa chini ya utawala wa awamu ta tano au naye muhuni tu?!
 
Ni sharti la lazima la kumfanya kuikiri imani ya kweli juu ya Muumba wake, awapo ktk uvuli wa mauti, ni BWANA pekee ndiye ambaye anaweza kumuokoa. Si cheo chake, wauguzi wala walinzi wake, bali ni Mola wake pekee ndiye ambaye anayeweza kumponya.
Asante kwa mahubiri.
 
Back
Top Bottom