Tetesi: Kim Jong Un anapigania uhai wake kwenye Coma

Tetesi: Kim Jong Un anapigania uhai wake kwenye Coma

Kama ni kweli..Basi KiM alifanya kosa kubwa sana kukutana na TRUMP na kushikana mikono..
Tumwombee sana Kim kwa kweli; hali sio hali kwa kipenzi chetu Kim. Kuna maandalizi makubwa yanafanyika NK muda huu.
 
Ana ukatili gani mkuu, hebu tusaidie sisi tusiojua, mimi kwa mtazamo wangu Trump ni katili zaidi ya huyo, nipo tayari kusahihishwa
Wewe umelishwa matango pori na media za maDemos far leftists.Trump Ni mtu poa Sana anamuheshimu Mungu!
 
Back
Top Bottom