Tumwombee sana Kim kwa kweli; hali sio hali kwa kipenzi chetu Kim. Kuna maandalizi makubwa yanafanyika NK muda huu.Kama ni kweli..Basi KiM alifanya kosa kubwa sana kukutana na TRUMP na kushikana mikono..
Nasikia hiyo sister ake ndio kichaa kilo moja na RoboTumwombee sana Kim kwa kweli; hali sio hali kwa kipenzi chetu Kim. Kuna maandalizi makubwa yanafanyika NK muda huu.
Demu ni demu tu; akikonyezwa atatabasamu hawezi shindana maumbile wewe. Mungu fundi asiyefananishwa.Nasikia hiyo sister ake ndio kichaa kilo moja na Robo
Wewe umelishwa matango pori na media za maDemos far leftists.Trump Ni mtu poa Sana anamuheshimu Mungu!Ana ukatili gani mkuu, hebu tusaidie sisi tusiojua, mimi kwa mtazamo wangu Trump ni katili zaidi ya huyo, nipo tayari kusahihishwa
Haijalishi, ila mpini anachezeaHa ha ha Amiri Jeshi Mkuu anatoa vilio vya utamu! Anyway, nani amkune kunako huchagua yeye mwenyewe. Hio ndio tofauti.
Maandalizi yanaendeleaje hapo Pyongyang Frank WanjiruTumwombee sana Kim kwa kweli; hali sio hali kwa kipenzi chetu Kim. Kuna maandalizi makubwa yanafanyika NK muda huu.