KIM JONG UN-Mbona kama mitandao inasema Mungu kampenda zaidi?

KIM JONG UN-Mbona kama mitandao inasema Mungu kampenda zaidi?

Tatizo la mungu ndo hili, yaani yeye akimpenda tu mtu humnyakua tu bila kuzingatia kuwa nasi pia tunamuhitaji mtu huyo.

Wala hatambui kama mtu anayemnyakua sometimes tumeingia naye mikataba.

Hii wala si haki!
 
Mbona leo Asubuhi (mchana kwao) alionekana kwenye KCT (television ya Taifa) akikagua kiwanda cha nguo na viatu kwenye Maonesho yanayofanyika kule Pyongyang. Nafikiri hizo umesoma ni propaganda. tu....
kama huko malawi, mnatangaza mtu kafa humu jf kesho anapokea wageni
 
Back
Top Bottom