Tukutane kitambaa cheupe ili tusubiri taarifa rasmi πΉAaah bana weeeee hii sikia sikia mtu unasongesha unaitumia, unasongesha tena unaitumia.....leo sisongeshi π
Hizo code nawe πΉMbona leo Asubuhi (mchana kwao) alionekana kwenye KCT (television ya Taifa) akikagua kiwanda cha nguo na viatu kwenye Maonesho yanayofanyika kule Pyongyang. Nafikiri hizo umesoma ni propaganda. tu....
Sasa kama anenda kukutana na mabikira 73 huku duniani anapoteza muda, mwache aende tuTatizo la mungu ndo hili, yaani yeye akimpenda tu mtu humnyakua tu bila kuzingatia kuwa nasi pia tunamuhitaji mtu huyo.
Wala hatambui kama mtu anayemnyakua sometimes tumeingia naye mikataba.
Hii wala si haki!
Mkuu huyo bikra mmoja wa ziada umemtoa wapi? Au unataka mimi nijiue niharakie kule kwa kudhani kuna bikra mmoja wa ofa.Sasa kama anenda kukutana na mabikira 73 huku duniani anapoteza muda, mwache aende tu
Huyo mmoja ni bonus kwa watakaojituma na kujitutumua bila kuchoka.Mkuu huyo bikra mmoja wa ziada umemtoa wapi? Au unataka mimi nijiue niharakie kule kwa kudhani kuna bikra mmoja wa ofa.
Mabikra kule wako 72, tafadhali acha upotoshaji aisee!
Kumbe wale jamaa wanaojitoa muhanga huwa wanaambiwa kuwa wakifika kule peponi wanapewa mabikra 72 wengine wa ziada πHuyo mmoja ni bonus kwa watakaojituma na kujitutumua bila kuchoka.
Huyo ni bonus kwa kamandaMkuu huyo bikra mmoja wa ziada umemtoa wapi? Au unataka mimi nijiue niharakie kule kwa kudhani kuna bikra mmoja wa ofa.
Mabikra kule wako 72, tafadhali acha upotoshaji aisee!
Je, bro, huwa unatumia kilevi gani? Huwa nacheka sana maandishi yakoAaah bana weeeee hii sikia sikia mtu unasongesha unaitumia, unasongesha tena unaitumia.....leo sisongeshi π
Halafu nini nini pale hamna hamna namna ganiiiiTukutane kitambaa cheupe ili tusubiri taarifa rasmi πΉ
Halafu wewe ni mchekeshaji, ushanifahamu ehh! (Kwa sauti ya Jose Mara).Halafu nini nini pale hamna hamna namna ganiiii
Bro ni mirinda nyeusi tu baaaaaasJe, bro, huwa unatumia kilevi gani? Huwa nacheka sana maandishi yako
Agiza kabisaBro ni mirinda nyeusi tu baaaaaas
Weeeee!!!! Natuma lipa namba ulipie kretiAgiza kabisa
Karibu kwa pm yangu, uwe mshangazi wa moto tafadhaliWeeeee!!!! Natuma lipa namba ulipie kreti
Nimesoma mitandao naona kama wanasema kapata Brain Hemorrhage, hii imekaaje wadau?
Nini kimetokea huko???