Kim Jong-un taratibu anaendelea kujipenyeza kwenye mzozo wa vita ya Ukraine, haingilii ki-maneno matupu tena bali sasa anaanza kuingia mzima mzima!

Raphael Thedomiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2019
Posts
442
Reaction score
729
Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kusini imesema inalaani hatua ya Korea Kaskazini kupeleka silaha kwa kampuni binafsi ya kijeshi ya Urusi ya Wagner Group.

Wizara hiyo imesema leo pia inaunga mkono shinikizo la Marekani kuliwasilisha suala hilo mbele ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Hapo jana, msemaji wa baraza la usalama la Marekani John Kirby alisema Korea Kaskazini imekamilisha upelekaji wa awali wa silaha kwa kundi la Wagner Group ili kulisaidia kuimarisha vikosi vya Urusi nchini Ukraine.

Hata hivyo, Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kaskazini imekanusha taarifa kwamba imeipatia Urusi silaha ikisema kuwa sio za msingi. Na badala yake nchi hiyo imeishutumu Marekani kwa kuipatia Ukraine silaha za kivita. Taarifa ya wizara hiyo hata hivyo, haijalitaja popote kundi la Wagner.

Dw
 
Hapa ndipo utamuhurumia Russia kwamba anatapatapa kweli.., utamtegemea north Korea akupe ( akuuzie ) silaha kwa nguvu gani aliyonayo??

Kwa tafsiri nyingine ni kwamba hii vita imemfanya urusi awe kwenye level sawa na north Korea [emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ila hao North Korea wamekataa na kusema sio kweli ...na Ingekua kweli wasingeficha maana hawana Cha kuogopa
 
Hapa ndipo utamuhurumia Russia kwamba anatapatapa kweli.., utamtegemea north Korea akupe ( akuuzie ) silaha kwa nguvu gani aliyonayo??

Kwa tafsiri nyingine ni kwamba hii vita imemfanya urusi awe kwenye level sawa na north Korea [emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hivi Vita ni kati ya Mrusi na nchi za magharibi but bado Russia Ana uwezo wa kuvikabili alichofanya mkorea Ni kumuunga mkono swahiba wake tu.
Pia usibeze uwezo wa North Korea maana Ni ngumu nchi nyng kusavivu ikiwa umewekewa vikwazo vya kiuchumi na nchi za magharibi na Kama North Korea Hana nguvu Basi Ni shairi dhairi kuwa mmarekani na washirika wake wangesha mshambulia.
By the way nchi yyote inayozalisha silaha za nyuklia si ya kubeza hata kdg.
 
Hapa ndipo utamuhurumia Russia kwamba anatapatapa kweli.., utamtegemea north Korea akupe ( akuuzie ) silaha kwa nguvu gani aliyonayo??

Kwa tafsiri nyingine ni kwamba hii vita imemfanya urusi awe kwenye level sawa na north Korea [emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unajidanganya Russia anapigana na NATO. ndani ya
Ukraine sio Ukraine pekeyao kama ulivyoaminishwa
 
Hapa ndipo utamuhurumia Russia kwamba anatapatapa kweli.., utamtegemea north Korea akupe ( akuuzie ) silaha kwa nguvu gani aliyonayo??

Kwa tafsiri nyingine ni kwamba hii vita imemfanya urusi awe kwenye level sawa na north Korea [emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
North Korea yuko vizuri kushinda Urusi. Bila msaada wa Iran Putin angeshaikimbia nchi kitambo.
 
Back
Top Bottom