PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Naona unazidi kujitoa na kwenda mbali kabisa na hija uliyoileta mwenyewe ambayo tukakupa muda wa kuitetea.Huoni kama ni tatizo hilo , kupeleka pesa ndefu kwa watu wanaou watoto ,wanawatolea watu kinga kabisa iliyowekwa na umoja wa mataifa ili wakiuke sheria ya vita.
Hapo unamaanisha nini na ukirejea wapi? Bado tupo kulekule WW 2 ulipopatolea mfano?