Kim Jong Un wa North Korea atangaza kutumia mabomu ya nyuklia kuipiga Korea Kusini iwapo atachokozwa!

Kim Jong Un wa North Korea atangaza kutumia mabomu ya nyuklia kuipiga Korea Kusini iwapo atachokozwa!

Huoni kama ni tatizo hilo , kupeleka pesa ndefu kwa watu wanaou watoto ,wanawatolea watu kinga kabisa iliyowekwa na umoja wa mataifa ili wakiuke sheria ya vita.
Naona unazidi kujitoa na kwenda mbali kabisa na hija uliyoileta mwenyewe ambayo tukakupa muda wa kuitetea.
Hapo unamaanisha nini na ukirejea wapi? Bado tupo kulekule WW 2 ulipopatolea mfano?
 
Ogopa sana kupambana na masikin wanakuwaga hawana cha kupoteza
Huo ni mkwara tu katika harakati za kujihakikishia usalama wake madarakani. Kim binafsi na familia yake wana ukwasi wa kutisha. Wanamiliki mabilioni ya USD na mali za anasa sehemu mbalimbali duniani kupitia magenge ya kimafia.

Wananchi wa kawaida huko NK ndio masikini wa kutupwa.
 
Marekani wamegombanisha hawa ndugu , kwa vile jamii ni magaidi sana
Siasa ndizo zilizo wagonbanisha wakiamua kuweka siasa kando hakuna cha marekani wala China wala Urusi wa kuwazuia wao kurudi kuwa wamoja
 
Back
Top Bottom