Naona unazidi kujitoa na kwenda mbali kabisa na hija uliyoileta mwenyewe ambayo tukakupa muda wa kuitetea.Huoni kama ni tatizo hilo , kupeleka pesa ndefu kwa watu wanaou watoto ,wanawatolea watu kinga kabisa iliyowekwa na umoja wa mataifa ili wakiuke sheria ya vita.
Huo ni mkwara tu katika harakati za kujihakikishia usalama wake madarakani. Kim binafsi na familia yake wana ukwasi wa kutisha. Wanamiliki mabilioni ya USD na mali za anasa sehemu mbalimbali duniani kupitia magenge ya kimafia.Ogopa sana kupambana na masikin wanakuwaga hawana cha kupoteza
Tamaduni za asili? Mtu anayeshinda kufuatilia ligi za NBA na movie za Hollywood?Soma ndio utajua , mmoja ana tamaduni za wazungu na mwingine ana tamaduni za asili.
Uliona wapi korea wakafanana na wazungu ? Kama sio ukoloni kwenye nchi za watu.Tamaduni za asili? Mtu anayeshinda kufuatilia ligi za NBA na movie za Hollywood?
Very trueOgopa sana kupambana na masikin wanakuwaga hawana cha kupoteza
Siasa ndizo zilizo wagonbanisha wakiamua kuweka siasa kando hakuna cha marekani wala China wala Urusi wa kuwazuia wao kurudi kuwa wamojaMarekani wamegombanisha hawa ndugu , kwa vile jamii ni magaidi sana
Ogopa sana kupambana na masikin wanakuwaga hawana cha kupoteza
Pole ndugu yanguUmenifanya nimecheka sana