Kim Kardashian na Paris Hilton kuhojiwa sakata la Ronaldo kubaka

Kim Kardashian na Paris Hilton kuhojiwa sakata la Ronaldo kubaka

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Mawakili wanaochunguza sakata la Ronaldo kumbaka Kathryn Mayorga wanataka kuwahoji Wapenzi wa zamani wa Mchezaji huyo, inaelezwa kuwa miongoni watakaohojiwa ni Kim Kardashian, Paris Hilton, Gemma Atkinson na Mwanamitindo wa kirusi Irina Shayk.
FB_IMG_1538903175020.jpg
FB_IMG_1538903166631.jpg
 
Ronaldo kasema wapi? Weka link hapa. Ninavyojua mimi Ronaldo hataki kuongea chochote kuhusu hili swala, alichofanya ni kutoa statement moja tu kupitia ukurasa wake wa Twitter.
Nadhan mawakili wake wanashughulikia
 
Back
Top Bottom