last king of uscoch
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 2,728
- 3,980
*****'Golddigger liko kaziniKulikuwepo na tetesi za ujauzito wa Rihana miaka miwili baada ya kutulizwa na jamaa wa Saudia bwana Hassan Jemeel.
Jamaa anafahamiana na Naomi Campbell ambae ni rafiki wa Rihana hivyo connection ikawa kazi ndogo.
View attachment 891059
Set up 2016
View attachment 891062
Baadae 2016 jamaa akawa amenyakua mtoto.