Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakataa halafu unakubali wewe mweyewe hapo hapo. hizi mambo zinategemea afya yako na lishe unayopata kama uko dhaifu hata mwaka unaeza enda 😀Story imetungwa hii. Virusi vya ukimwi vya sasa haviwezi angamiza binadamu kwa chini ya miaka 20. Yaani vvu vinahitaji miaka zaidi ya 20 angalau kuangamiza mwili wenye seli dhaifu kabisa duniani!!! Ila nikiangalia mkeo hapo ameishi na virusi kwa chini ya miaka 8
Aaaaaaaaaaaaa haya Mambo haya dahukome