Story imetungwa hii. Virusi vya ukimwi vya sasa haviwezi angamiza binadamu kwa chini ya miaka 20. Yaani vvu vinahitaji miaka zaidi ya 20 angalau kuangamiza mwili wenye seli dhaifu kabisa duniani!!! Ila nikiangalia mkeo hapo ameishi na virusi kwa chini ya miaka 8