Kimaendeleo Awamu ya Tano iliinyanyapaa Nyanda za Juu Kusini. Mabalozi EU watembelea

Hata hujaelewa nilichokomenti.

Hebu Soma vzr na angalia nilichoquote
Kaka kinachozungumziwa kanda ya ziwa na watu wote wa asili ya huko ndo kinachosemwa ni asilimia 40 ya watu wote wa nchi hii!
 
The potential to grow must lie in the people, and not in fertile soils or minerals, to mention a few.

Failing that, the latter might just as well be in Antarctica if not a far away planet.

The likes of Elon Musk are already contemplating the takeover of Mars and other planets.

You lamenters in bongo are going to be taken over by the lesser varieties of pirates(the new Cecil Rhodeses) and I can assure you they will tie you in mind chains and at times,cut your stupid throats.
Stupid minds discuss stupid ideas.
You, Elon Musk, I just wish you to see the stars!
 
Sikubaliani na wewe mkuu, mataga walikuwa hawataki kufanya ziara Kusini ila maendeleo yalifangika kama kawaida.
Kiwanja cha ndege Songwe hakijamalizika almost 20 yrs.
Barabara Igawa-Tunduma, the worst kwa stretch yote ya Tz- tunduma highway.
Hakuna mashirika ya umma (NSSF, NHC) yamewekeza majumba makubwa kadhaa Jijini Mbeya.
Uyole-Mbalizi barabara kuachwa vile ni uhujumu uchumi wa Mbeya.
TAZARA hsijawahi kupatiwa kipaumbele na hata ikifa hakuna anayejali.

Sasa mkuu wewe unaongelea maendeleo gani?
 
Sasa kama uwanja haujakamilika miaka yote hiyo,hapo Mwendazake anaingiaje? Ndio alikuwa anazuia?

Hiyo barabara sio worse kama unavyosema na inajengwa kwa awamu,walianzia Iringa wako hapo Igawa na wanafanya hivyo kusudi kwa sababu hakuna maana ya kufumua barabara nzima wakati bado inafanya Kazi,kwangu barabara ya muhimu ni Mbeya Chunya Tabora/Singida iwe lami yote italeta tija na ndio barabara kuu iliyobakia ina vumbi peke yake.

Mbona barabara ya Morogoro Dom ni mbaya kuliko hii ya Tanzam?

Hivyo vibarabara vya mjini ,Uyole Mbalizi na Iwambi Mbalizi zitajengwa kwa pamoja wakati wa ukarabati wa Tanzam Highway,ziko kwenye package moja ..Sio tuu kwamba zitapanuliwa bali zitajengwa kuwa njia 6 Kati ya Uyole na Songwe Airport..

Ishu ya mashirika kujenga majumba ni swala la kibiashara zaidi ila NHIF na CWT Wana majengo yao makubwa hapo Mbeya..Kwa kuongezea ni kwamba uwekezaji wa sekta ya umma kwenye majengo ulizuiwa kote ila wakiruhusiwa tena na wakaona kuna tija watawekeza .

Tazara ni jambo la Tzn,Zambia na China..Hiyo reli ni useless kama ambavyo mnajenga useless nyingine mnaita sgr huko Kanda ya Ziwa..

We kwa akili yako kama Tazara iliyoko kwenye transport corridor juu ya uchumi inaleta hasara ndio itakuwa hiyo ya huko Kanda ya Ziwa ambako hakuna cha maana cha kusafirisha?

Kinachotakiwa Mbeya ni kuwekeza kwenye agro processing industries na biashara ya kuvuka border , potential ni kubwa Sana wala haihitaji booster kihivyo..
 
Ni mtu mmoja tu asiye na maono ya utaifa katufikisha hapa, kujadiliana ukabila na ukanda.
Angekuwapo Mwalimu Nyerere angemtukana sana.
Kwa hiyo mumekubali kutolewa kwenye reli?

Kwanza nadhani turudi kwenye Kanda ndio ligi ya maendeleo itakuwa vizuri mambo ya kubebana sio
 
Mwamba angekuwepo wasingethubutu

Kabudi na Diwani wangefukuzwa kazi kwa kutojua au kuwapa kibali cha kuzunguka zunguka nje ya Dodoma
 
Kiwanja cha ndege Songwe hakijamalizika almost 20 yrs.
Barabara Igawa-Tunduma, the worst kwa stretch yote ya Tz- tunduma highway.
Hakuna mashirika ya umma (NSSF, NHC) yamewekeza majumba makubwa kadhaa Jijini Mbeya.
Uyole-Mbalizi barabara kuachwa vile ni uhujumu uchumi wa Mbeya.
TAZARA hsijawahi kupatiwa kipaumbele na hata ikifa hakuna anayejali.

Sasa mkuu wewe unaongelea maendeleo gani?
Nyinyi hata uwanja wa ndege mlipendelewa tu maana hata wasafiri wa dani kwenda huko ni wachache soko la uhakika ni kanda ya kaskazini na kamda ya ziwa kwa wanaume! Hivi Mbeya hicho kijiji kikubwa kiwe na uwanja wa ndege wa kimataifa kabla ya mwanza?
 
Sasa kama uwanja haujakamilika miaka yote hiyo,hapo Mwendazake anaingiaje? Ndio alikuwa anazuia?

Hiyo barabara sio worse kama unavyosema na inajengwa kwa awamu,walianzia Iringa wako hapo Igawa na wanafanya hivyo kusudi kwa sababu hakuna maana ya kufumua barabara nzima wakati bado inafanya Kazi,kwangu barabara ya muhimu ni Mbeya Chunya Tabora/Singida iwe lami yote italeta tija na ndio barabara kuu iliyobakia ina vumbi peke yake.

Mbona barabara ya Morogoro Dom ni mbaya kuliko hii ya Tanzam?

Hivyo vibarabara vya mjini ,Uyole Mbalizi na Iwambi Mbalizi zitajengwa kwa pamoja wakati wa ukarabati wa Tanzam Highway,ziko kwenye package moja ..Sio tuu kwamba zitapanuliwa bali zitajengwa kuwa njia 6 Kati ya Uyole na Songwe Airport..

Ishu ya mashirika kujenga majumba ni swala la kibiashara zaidi ila NHIF na CWT Wana majengo yao makubwa hapo Mbeya..Kwa kuongezea ni kwamba uwekezaji wa sekta ya umma kwenye majengo ulizuiwa kote ila wakiruhusiwa tena na wakaona kuna tija watawekeza .

Tazara ni jambo la Tzn,Zambia na China..Hiyo reli ni useless kama ambavyo mnajenga useless nyingine mnaita sgr huko Kanda ya Ziwa..

We kwa akili yako kama Tazara iliyoko kwenye transport corridor juu ya uchumi inaleta hasara ndio itakuwa hiyo ya huko Kanda ya Ziwa ambako hakuna cha maana cha kusafirisha?

Kinachotakiwa Mbeya ni kuwekeza kwenye agro processing industries na biashara ya kuvuka border , potential ni kubwa Sana wala haihitaji booster kihivyo..
Wewe kanda ya ziwa huijui tulia unyolewe! Unafikiri SGR ni kwa ajiri ya mizigo tu? Nenda Magufuri terminal al ukafanye utafiti wasafiri wa mabasi wengi wanaelekea uelekeo gari ya nyanda za juu kusini au kanda ya ziwa!
 
naona sukuganG wamerudi spid kutetea legac ya lile uaJi
weita ongeza🍺🍺 km tulivyo,,,dJ ongeza sauti🔊🔊 acha waendelee kuteseka
 
Wewe kanda ya ziwa huijui tulia unyolewe! Unafikiri SGR ni kwa ajiri ya mizigo tu? Nenda Magufuri terminal al ukafanye utafiti wasafiri wa mabasi wengi wanaelekea uelekeo gari ya nyanda za juu kusini au kanda ya ziwa!
Bila mizigo sgr itakuwa na maana gani? Unadhani uwekezaji wa sgr ni sawa na mwendokasi? Nasema hivi mradi utafeli kama ilivyofeli mingine..

Bila kujiendesha kwa faida nani atatoa ruzuku kupoteza pesa za umma? Tusubirie mda utasema
 
Nyinyi hata uwanja wa ndege mlipendelewa tu maana hata wasafiri wa dani kwenda huko ni wachache soko la uhakika ni kanda ya kaskazini na kamda ya ziwa kwa wanaume! Hivi Mbeya hicho kijiji kikubwa kiwe na uwanja wa ndege wa kimataifa kabla ya mwanza?
Unaweza thibitisha huo uchache wake? Unajua kuna ndege ngapi zinatua pale kwa siku?

By the way distance matters ,kukaa kwenye basi masaa 16vs 11 no factor muhimu ya kuchagua usafiri
 
Back
Top Bottom