Simba hata akinyeshewa mvua kamwe hawezi kuwa nyani.Hiki kipigo tulichopata leo kimetulewesha, lakini.ni kweli Siimba bado ana nafasi ya kwenda robo fainali.
Sharti ya hili kuwezekana, lazima akashinde ugenini kwa Vipers kufidia pointi tatu alizopoteza leo, then ashinde game mbili za nyumbani, dhidi ya Vipers na Horoya.
Simba Nguvu Moja[emoji1306][emoji1306]
Aibu yakoMsijipe sana matumaini ili hata mkifungwa msijepoteza fahamu hao Vipers mtakao wapania na wenyewe wanajipanga vile vile
Aisee heshima nyingi sana kwako. Hongera kwa uchambuzi mzuri wenye uhalisia mkubwaUtabiri wangu ulikuwa huu hapa.
Poleeeeeeee unateseka ukiwa wapiiiiii????Mmeanza hesabu zenu tena..[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan lazima simba iwateseee?? Si mbaki na utopolooo yenuuii.Hilo kundi gumu sana kwa Simba. Simba hawezi kupita. Sidhani kama ataweza kuchkua point zaidi ya 3 kwa vipers. Na asipoangalia ataondoka na matokeo ya draw tu (pt 1 au 2).
Hii safari imefika ukingoni, jipangeni na ijayo na poleni sana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dadekiiiii njooo uongeee tena ujinga wako, pumbaaaavuuuuuuSimba Hana uwezo Wala kibri Cha kumfunga vipers nyumbani kwake, Simba akipata sare Kwa Vipers ni jambo la kushukuru.
Waulize hao Horoyaaa wakoo sasa hizo point 2 ziko wapiiii?Kwanza simba ikikaa vibaya, kwa mkapa anaweza akaacha pointi 2 vs Horoya
Matikiti yamekomaa na bei imechangamka, kila tikiti 1 ni milioni 5 na wao wamevuna tikiti 7 sawasawa na milioni 35. kilimo cha matikiki kinalipa, famasihara wewe?Kilimo cha matikiti..
Mnahamishia magoli kwa robo final??? Kazi mnayooNa Baada ya Robo Fainali Uje Hapa Tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] teseka kimya kimyaa aseee, poleeeeeeeeh.Ndio huwa mwisho wa waoteaji hapo. Endeleeni kushangilia hilo kombe la kuingia robo (Maana hizi Kelele ni kama tayari mshachukua Kombe). Enjoy it while it lasts.
Angalia mpira unaopigwa leo, sio nyie mnashinda kichawi tuPoleeeeeeee unateseka ukiwa wapiiiiii????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tushaingia roboo, afu sio shida zetu sasa. Uwiiiiiiih
Pombeka kwa sanaa leo upunguze maumivuuu.
Uwiiiiiiih