Kimahesabu Simba atavuka hatua ya makundi na kwenda Robo Fainali CAF

Kimahesabu Simba atavuka hatua ya makundi na kwenda Robo Fainali CAF

Nilisema hiki kitu Kuna baadhi ya wasiojua Mpira wakacheka na kukebehi

Rejea Uzi wangu huu hapa.

 
Hiki kipigo tulichopata leo kimetulewesha, lakini.ni kweli Siimba bado ana nafasi ya kwenda robo fainali.

Sharti ya hili kuwezekana, lazima akashinde ugenini kwa Vipers kufidia pointi tatu alizopoteza leo, then ashinde game mbili za nyumbani, dhidi ya Vipers na Horoya.

Simba Nguvu Moja[emoji1306][emoji1306]
Simba hata akinyeshewa mvua kamwe hawezi kuwa nyani.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mmeanza hesabu zenu tena..[emoji1787]
Poleeeeeeee unateseka ukiwa wapiiiiii????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tushaingia roboo, afu sio shida zetu sasa. Uwiiiiiiih
Pombeka kwa sanaa leo upunguze maumivuuu.

Uwiiiiiiih
 
Hilo kundi gumu sana kwa Simba. Simba hawezi kupita. Sidhani kama ataweza kuchkua point zaidi ya 3 kwa vipers. Na asipoangalia ataondoka na matokeo ya draw tu (pt 1 au 2).

Hii safari imefika ukingoni, jipangeni na ijayo na poleni sana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan lazima simba iwateseee?? Si mbaki na utopolooo yenuuii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maumivu yakizidi dawa 3 zipo madukani koteeee.
 
Simba Hana uwezo Wala kibri Cha kumfunga vipers nyumbani kwake, Simba akipata sare Kwa Vipers ni jambo la kushukuru.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dadekiiiii njooo uongeee tena ujinga wako, pumbaaaavuuuuuu
 
Ndio huwa mwisho wa waoteaji hapo. Endeleeni kushangilia hilo kombe la kuingia robo (Maana hizi Kelele ni kama tayari mshachukua Kombe). Enjoy it while it lasts.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] teseka kimya kimyaa aseee, poleeeeeeeeh.
 
Poleeeeeeee unateseka ukiwa wapiiiiii????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tushaingia roboo, afu sio shida zetu sasa. Uwiiiiiiih
Pombeka kwa sanaa leo upunguze maumivuuu.

Uwiiiiiiih
Angalia mpira unaopigwa leo, sio nyie mnashinda kichawi tu
 
Back
Top Bottom