Acha kiote,tutakifyeka mwezi wa naneIla mbona kichaka cha champion kimeota nyasi 😁😬
Makolo bila kuroga ni viper
Game uliangalia au unasimuliwa na manzi yako chief!!Aliyefurukuta jana pale mbele ni Kibu D tu. Baleke, Chama na Ntibazonkiza; walikuwa wanaruka ruka tu.
Sema kipa mechi ilikuwa kubwa mno kwakeWe do not want positivity, we want to win, ukisema nyie unamaanisha ni nani? Mimi naweza kuwa shabiki wa Simba kukuzidi, au mmoja wa management ya Simba, perfomance is bad, tumepoteza jambo kubwa kwa hatua ndogo ndogo za uzembe. Kipa a nakwepa mipira.
Huyu kipa udaka mipira inayomfuata tu.
Hiyo si ndio process niliyokuwa naizungumzia....Acha kiote,tutakifyeka mwezi wa nane
Lazima tujipange kotekote mkuuTujipange na mapinduzi cup + Azam confederation cup mkuu
Tunafyeka kwanza kichaka Cha CAF CCHiyo si ndio process niliyokuwa naizungumzia....
Wewe ulitaka tuanze lini na tumalize lini!!Hilo swali hata Mimi nmeuliza...
Wameanza lini??
Achana na mambo ya ushirikina.Kupanga ni kuchagua ??? Ule moto mliwasha sauz ......nadhan target yenu ilikuwa kupata ushind
Legeza hilo shingo!!.Tunafyeka kwanza kichaka Cha CAF CC
Kulingana na vitu vifuatavyoHaijalishi,kwani wewe unafikiri kwa uzoefu wako process inatakiwa ichukue muda gani labda!!?
Ndo ulichobaki nacho kinakufarijiLegeza hilo shingo!!.
Unaona ugumu gani kusema kwamba mlikuwa hamna uwezo wa kushindana na wababe kama simba, waydad, mamelodi etc
Kwakweli wanastahili......Jiji limetuliaaTuwape kombe laoView attachment 2603361
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hapati kitu....Bora tumuachie ndugu yetu Singida big starz
Wenyewe walipata la ugenini?Kufa Kiume at least mngepata hata goal Moja ugenini